Recent content by snipper810

  1. snipper810

    Nimebaini mke wangu amezaa nje ya ndoa na amekiri, naombeni ushauri

    Sio kama nataka kuvunja ndoa yako broo... Hapana ila nadhani Hapo kwenye kubishana kisa jina W na Q kunaelezea fika ya kuwa mume mwenzio na mkeo bado wanawasiliana.
  2. snipper810

    St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    watoto wale wanaandaliwa vizuri,pia washajengewa spirit ya kufaulu. walimu wao wako strictly ukizingua uko nje ya duara yaani hawacheki na kima. #watoto wapewe sifa zao bhna, wanajua
  3. snipper810

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Lugha kweli ni tatizo lakini binafsi nalipa uzito wa 30% na hizo 70 zilizobaki ni mfumo wetu ambao unaamini katika uwezo wa kuNAKILI yaani kwakizungu tuite COPY AND PASTE na si uelewa wa mwanafunzi katika masomo. ole wako uulizwe what is haematology? halafu utoe maelezo yako binafsi jua...
  4. snipper810

    ushauri

    Namaanisha situation kama yako ndo imenikuta... ila mi kikweli bado najifikiria kwanza kama ninyoe au la..!
  5. snipper810

    ushauri

    Bro we lea tuu... mbona mi wangu anamiezi miwili na nshakubalina na hali... Angalizo tuu hii mambo ni zaidi ya kubeti..
  6. snipper810

    Nimeamua kuwafukuza wageni wawili nimebaki na wawili, kuna ubaya?

    Mkuu kifupi una ROHO NGUMU... kama wawili unaweza hudumia wiki 2 basi hao 4 ungeweza kuwahumia walau wiki 1.... Mengine wangejiongeza wao wenyewe maana hali halisi wanaiona.... Merry X mass cha roho mbaya😊😊...
  7. snipper810

    mrejesho 1: kweli naokota dodo !

    Huu ni mrejesho ama SHAIRI...??
  8. snipper810

    Nimwache akapange au niondoke mimi?

    Duuuuh mkuu unaroho NGUMU SANA....!! Mpaka nahisi labda kakufanyia DAWA...
  9. snipper810

    Makosa ya Mtandao: Mbaroni kwa ‘kumtukana’ Naibu Spika, Tulia Ackson

    Binafsi sijaona tusi mbona.... Au mi ndo lugha imechenga
  10. snipper810

    Wanawake fitina

    Mi kwa jinsi ninavyopenda stori..... nimekuelewa kabisa atiii......
  11. snipper810

    Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    😢😢braza pole tuu mana haina jinsi ndo ukubwa huo... Ila kama ni CHAI hii we nipe tuu maandazi nishushie tuu😕
  12. snipper810

    Kwanini Waadventista Wasabato hamuipendi historia yenu halisi kabla ya 1863

    Aaaaah mi nahis nna IQ ndogo maana cjaelewa kabisa uzi huu unamaanisha nini.....!?!!!?
  13. snipper810

    Penzi bila maumivu

    Duuuh hatari....
  14. snipper810

    RIWAYA : Angamizo

    Aloooooooooh...!!! Great sana hii
  15. snipper810

    Masota: Bongo fleva artist na komandoo wa JWTZ afariki dunia

    Mnaobishana wote niwakute central.......
Back
Top Bottom