pole ndug unajua inabid uufunze moyo na hisia zako kukwepa mamabo amabayo yatakuja kutukia mbele..kiufupi anakutaka wewe au anaonesha kukupenda ili kupoza maumivu ya mtu aliyemuacha na wewe anakutumia kama support ya mimba ili ajifungue halafu aendelee na mambo mengine...kwanza wewe huna uhakika kama hampendi mshikaji tena maana mwanamke kufikia hatua ya kukubali kubeba mimba ya mwanaume ni alimpenda na kumthamini na ni rahisi sana ya jamaa kurudi kwa gia ya kusema tuelewane ili tulee mtoto na akarudi kwa msela na akakusahau kabisa...ndug yangu kama unanisikiliza usifanye huo ujinga tafuta wa kwako umtie mimba...mmi mwenyewe kuna mwanamke nimtia mimba na ana msela wake ila hata dakika hii anamaliza kuniambia aminimss ni mplekee mtoto zawadi na unajua nikienda kule kinachotokea ni nini... take it from me bro utanishukuru siku moja