Recent content by Smeagol

  1. Smeagol

    JamiiForums Tanzania TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

    Kichuguu [emoji23][emoji23]
  2. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Hapana kaka sio kwa ajili yangu.
  3. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Sawa nashukuru, ukipata referral ntashukuru sana kaka. Maana nna mtoto wa dada yangu anahitaji sana hii session.
  4. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu mabaya sana nakaribia kujiua

    Kwa Dar?, counsellors wanapatikana wapi?
  5. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Hivi ni Halali kutumia Avatar ya Marehemu Akwilina??

    May Her soul rest in eternal peace!
  6. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Rais Kagame kufanya ziara nchini tarehe 14 Januari

    Ulitaka aje kushangaa bahari?
  7. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

    Garbage in garbage out [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Karagwe amchapa vibao raia

    Nidhamu ya woga.
  9. Smeagol

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu wengi wanateseka katika mahusiano lakini hawataki kuachia ngazi?

    Kuna anachokipata ambacho anaogopa kutokipata kwa mwingine!
  10. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Hili gazeti la Uhuru ni vichekesho, wamefuta neno UKUTA kwenye fulana ya Lissu

    Kulikuwa na haja gani ya kuiweka picha ya Lissu "fent ford" kama walijua wakionyesha baadhi ya vitu watawakera wakubwa?
  11. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Mataa mapya Tegeta_Mwenge yamekuwa kero

    Wakiongeza interval ya muda kwa magari yaliyokuwa highway natumai itasaidia maana kwasasa ni kero. Ni bora ukatumia njia ya mbezi chini.
  12. Smeagol

    JamiiForums Tanzania Kwa hotuba hii ya Lissu, Prof. Kabudi ana mtego wa kuikana nafsi yake na maandishi ya taaluma yake

    Shikamoo Tundu Antipas Lissu
Back
Top Bottom