Rais Kagame kufanya ziara nchini tarehe 14 Januari

Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania

Kichekesho kwa angle nyingine.
 
Mada ya kuongezwa muda ukomo wa rais abaki nayo rwanda, ukabila aje na development issue welcome.
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Umeandika vizuri ila umeharibu sana na IQ ya kitutsi, yani umenyea chakula. Sababu first they are not that smart in classes, studied with a bunch of them, though I know IQ is bullshit created by white men to presume themselves superior, and the Belgium lied to you that are superior to Hutu because of IQ.

Alafu second umeleta ukabila, unajisifia tribal superiority whilst you're nothing. Mbona hamfui dafu Burundi.
Banyamulenge
 
Kwani kuna asiyejua kwamba ' Watutsi ' ndiyo Waafrika pekee wenye IQ kubwa kuliko Makabila mengine yanayopatikana katika Bara la Afrika. Hivi usipofanya Kazi na Mtutsi unataka ufanye Kazi na Kabila gani jingine? Tanzania mmepata bahati mno kutembelewa na Rais Paul Kagame ambaye hadi hivi sasa nchi nyingi kubwa na tajiri za huko Ulaya kila siku zinamwomba akazitembelee na afanye nazo Kazi kutokana tu na jinsi alivyoijenga nchi ya Rwanda. Ndiyo maana kila uchao nampongeza mno Rais John Magufuli wa Tanzania kwa kuona umuhimu mkubwa wa Kwanza kuwa Rafiki na Rais Paul Kagame na kubwa kukubali Kushirikiana nae katika Nyanja mbalimbali ili kwa pamoja Rwanda na Tanzania zikimbie Kimaendeleo na tuwafikie akina Malaysia, Singapore na ikibidi hata Wachina na Marekani.
Uchumi wa Rwanda unaongezeka kwa sekta zipi? Kilimo, Viwanda au Madini?
 
Mmhh!! Hivi Bado upo popoma ww
 
Ushindani wetu hautufanyi kuacha kuteta yanayotuweka pamoja, safi sana.
 
Magufuli atazungumza na kukubaliana na mtu muona mbali sana ambaye atazungumza nawe na kukubaliana hili kumbe yeye kalenga paleee na kuleeeeee.
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Unataka magufuli awe kama kagame?viongozi wa vyama huko hawana raha wala amani.
Kufungwa ni jambo LA kawaida.hata kuuliwa au kutishia maisha.mkono wa chuma unaongoza Rwanda.unamsifu kagame kwa lipi?
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Ni bora ya DAB 1000 kuliko k.i.c.h.a.a mmoja, hata shetani mkuu hawezi kuua/kuumiza wenzake kwaajili ya kuimarisha nyumba yake......JK wa pili alijua kunyoosha v.i.c.h.a.a. Na mmoja wa wenza wake ni kama aliyenukuliwa...
 
Mwanamume wa kweli Afrika Mashariki na Kati, Afrika kwa ujumla na hata duniani Paul Kagame. Ni Kiongozi asiye mwelewa tu ndiyo hatopenda ' Kushirikiana ' na Rais Paul Kagame ila Kiongozi makini siku zote atapenda kufanya Kazi na Kushirikiana na Mwanamume wa Shoka Paul Kagame kwani Tanzania inahitaji mno IQ ya Kitutsi ili kupiga hatua za Kimaendeleo kwa haraka sana na nampongeza Rais wa Tanzania John Magufuli kuwa karibu Kiushirikiano na Rais Paul Kagame kwani atapata mengi ya faida ambayo ' mtangulizi ' wake hakuyaona kwa Kagame na akaishia tu Kugombana nae.

Long live Rwanda
Long live Tanzania
Nonsense
 
Uchwara naye si alitokea hukohuko kwa Paul? Anakuja kumpongeza kwa kuushughulikia upinzani kama walivyoahidiana na kujadiliana muda ule wamekutana. Aliambiwa "what is democracy", forget about that stupid statement, you have all armys at your hand and all election organs are your, how come an opposition candidate to win? Mzee akaitikia " ekizakitili", tangu hapo akaanza "I wish I kudu be IGP".
 
Uchwara naye si alitokea hukohuko kwa Paul? Anakuja kumpongeza kwa kuushughulikia upinzani kama walivyoahidiana na kujadiliana muda ule wamekutana. Aliambiwa "what is democracy", forget about that stupid statement, you have all armys at your hand and all election organs are yours, how come an opposition candidate to win? Mzee akaitikia " ekizakitili", tangu hapo akaanza "I wish I kudu be IGP"
 
Kwani kuna asiyejua kwamba ' Watutsi ' ndiyo Waafrika pekee wenye IQ kubwa kuliko Makabila mengine yanayopatikana katika Bara la Afrika. Hivi usipofanya Kazi na Mtutsi unataka ufanye Kazi na Kabila gani jingine? Tanzania mmepata bahati mno kutembelewa na Rais Paul Kagame ambaye hadi hivi sasa nchi nyingi kubwa na tajiri za huko Ulaya kila siku zinamwomba akazitembelee na afanye nazo Kazi kutokana tu na jinsi alivyoijenga nchi ya Rwanda. Ndiyo maana kila uchao nampongeza mno Rais John Magufuli wa Tanzania kwa kuona umuhimu mkubwa wa Kwanza kuwa Rafiki na Rais Paul Kagame na kubwa kukubali Kushirikiana nae katika Nyanja mbalimbali ili kwa pamoja Rwanda na Tanzania zikimbie Kimaendeleo na tuwafikie akina Malaysia, Singapore na ikibidi hata Wachina na Marekani.
We ni K
 
mtutsi ana IQ kubwa wapi wewe...???acheni kujipa promo!!mna IQ kubwa nitajie mambo matatu makubwa mliofanya kwa ajili ya afrika ili tujue kweli mna IQ kubwa....nyie vp??
 
Back
Top Bottom