TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

TAZARA "flyover" yetu imekamilika!

Njia rahisi hao ni kuwaita kwenye mdaharo wa WAZI kujadili hali ya kiuchumi na demokrasia ili "waumbuke". Unasemaje mpambanaji?



Hawawezi kuja, wao wanajisikia huru kukaa nyuma ya keyboard na kuropoka kupotosha watu.
 
Na wasipokosoa utasemaje?


Sisemi kitu kwa sababu najuwa wao ni wapotoshaji tu....hawana lolote. Baada ya Magufuli kufufua Air Tanzania, Nigeria nayo imefufua ndege yao, soon utaona nchi zingine za Africa zina follow suit. Huwezi kuota ndoto za kupaisha nchi yako ukaka tu, you need to dare il kwa hapa Tanzania the so called smart people are useless and can't even see the future or potential, wao wako bize tu kupiga madili na kuyumbisha nchi kwa kuaminisha watu ujinga/uwongo.
 
Back
Top Bottom