Kama unasema akili ya technologia muulize samsung.
Hujui kwamba iphone battery, screen na processor zinatengenezwa na Samsung!
Camera ya iphone ni ya sony.
Na makorokoro mengine ni kampuni nyingine, chao ni software tu.
Wanaassemble kwa $250 wanakuuzia kwa $ 800 na mpaka $1400.
Wake...
Ndio maana sikuhizi mapenzi hakuna. Pesa inanunua mwanamke yoyote kasoro yule anaejitambua.
Njaa ndio zinawafanya mseme hivyo na ukweli hao wenye pesa mnaowataka huwa hamuapendi sema tu pesa inawafunika kwa kuwa na material things na kujipa moyo eti ningukuwa na yule nisingeendesha gari.
Wewee...
Jamani tusikatae bwana.
Kuna wanawake wazuri acha...achana na wowowoo sijui nini....wako sasa ambao yani usiseme...wazuri wa sura, umbo yani full balance diet :D
Hao sasa ndio ukioa ujue amri 10 hapo juu zinakusulubu labda uwe na pesa mingi na akuogope kama jini amasivyo...
Ila ukweli ni...
Biologically yai linaweza lisipate vifaranga...joto la kutamia na mda wake ni tafauti kati ya bata na kuku.
;)Sasa kutokana na vyakula vya kuku vya kichina vinaweza badilisha na kupata kifaranga aina ya kubata yani kuku na bata:D
Kawaida hii huwa ni noma, yani sijui kuku anafuata wowowo la...
Wadada na wakaka wa humu ukioa tu hujue nyaraka zako zitapostiwa humuhumu na kupata shuluisho humuhumu....maisha yatakuwa murua.
Hakuna umbea wa saloon ni e.umbea (electronic umbea) tu humu.
:p
Sent from my GT-I9300
Niwapeni husahuri, kama mtu unajiweza basi nunua heater ya maji ya moto ya solar, ac ya solar na umeme inapunguza 30-60% ya umeme na ki windvane cha 600w hapo umeme wa elfu 10 utakutosha kabisa full kiyoyozi na maji ya moto mda wote.
Vinginevyo basi ni swala la modification ya mita tu hakuna...
Sasa kazi ni asubuhi masaa 2 tu alafu chai halafu kisoma magezeti na kubomb mtu iliatoe pesa wengine unawapa tarehe ya kesho.
Mda unaobakia ni JF tu.
Sent from my GT-I9300
Aisee hii ni tabia si tu ya udom bali ni vyuo vyote nchini Tanzania na pia ulimwengu mzima.
Swala labda wapi wamezidi zaidi.
Hali ya uchumi, tamaa ya vitu hasa nguo na nywele huwafanya wa dada kuwa na tabia hizi.
Hata sisi wanaume tunachangia sana...tena walee wenye ndoa. Tuko wangapi?
Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.