Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,335
- Thread starter
- #61
mimi ndio niliopost uko pia
Nadhani hujiamini
Tupe link basi ya paper yako. Ili tisikuhukumu kabla ya kuipitia; l hope mlidefine hiyo beautifulness ili twende pamoja!
it is true by 75%
Khaaaa!Ina maana mke wangu ni mbaya?Sio kweli mie najua kuchagua kinoma na ninavyokwambia hayo mapungufu yote sijaliona hata moja!Labda hilo la 7 kwa sababu ya uhuni wangu tu!
Tuambie sampling technique and your methodology. also sample size is extremely crucial.
Syllogism:
1. Wanaume wote wanaoa wanawake wanaowaona ni wazuri
2. Hivyo wanawake waliiolewa ni wazuri
3. Then, wanawake wote walioolewa wana sifa hizo mbovu hapo juu
Does this make sense, if not then we have to define "mwanamke mzuri" before we discuss the above 10 arguments
Ngoja waje wenyewe,hawawezi michezo ya dunia, Lo!
Nimeipenda tu hiyo namba 7 ...............
mkuu hizo nilizotoa ni kama summary tu,ukitaka kijitabu chenyewe ni pm,nitakutumia popote ulipo duniani,nisingeweza kuandika vyote ambavyo vipo,hio ni kwa ufupi tu pia simaanishi wote bali asilimia kubwa
Niambie Mkuu hicho kitabu kinapatikana au kinauzwa wapi ili nikitafute