Tatizo hili lisitazamwe tu kwa kuangalia mikopo, tanzania wanabahati wanapata mikopo na kukabidhiwa hundi au kuingiziwa kwenye account zao. Nchi nyingine hakuna pesa itakayoingia kwenye account ya mwanafunzi, bali huingizwa kwenye account ya chuo kwa malipo ya malazi na account ya kampuni inayolisha wanafunzi, hivyo mwanafunzi ni kuingia na kujaa tele ndani ya cafeteria na kula chakula tani yake, kisha kulala huko kwenye domitory, kama anapanga basi mpangishaji ndiye atakayelipwa na bodi ya mikopo, naona bongo tambalare sana.
Vyuo na shule mbalimbali Tanzania hawana program za wanachuo kuwa na shughuli mbalimbali baada ya masomo kama program za michezo mbalimbali ikiwemo riadha. Baada ya madarasa wanatakiwa kuingia kwenye mazoezi ya michezo na riadha, wakirudi wako hoi ni kulala tu. Lakini hili la wanachuo ni kitabu tu wakisha choka wanajikuta kuandamwa na mawazo ya kimapenzi na kuishia kupata erection yenye kutaka kutulizwa, hiyo ndiyo nature. Program za michezo zina umuhimu wake kwa afya na maadili ya wanafunzi vinginevyo matokeo ndio hayo sasa. Hata kama wangepata mikopo kwa wakati tatizo hilo halitaisha kama vyuo haviweki mikakati ya program mbalimbali za wanafunzi na wanavyuo baada ya vipindi vya madarasani.
Kila binadamu anatumia kiungo kimojawapo cha mwili wake ili kujipatia kipato chake ili aweze kuishi. Wapo wanaotumia akili zao kuuza katika soko na kujiapatia mahitaji yao.
Mfano wahasibu, wahandisi, wanasheria,madaktari orodha ni ndefu. Akili ni kiungo cha mwili kama kiungo kingine chochote. Waliojaliwa akili hawakujaliwa ukahaba. Lakini wapo waliojaliwa vipawa zaidi ya kimoja kama vile wenye jinsia mbili, huamua kutumia kimojawapo. Wapo wanaotumia miguu kucheza mpira au kukimbia au hata kuruka.
Hawa nao wanajipatia ujira utokanao na matumizi ya viungo vya miili yao kama atumiavyo kahaba kiungo chake. Wapo pia wanaotumia sauti zao kuimba na kuburudisha jamii kwa ujira wa kuuza kazi zao za sauti zao. Wapo wapiga mieleka, ngumi nk. Wote hawa tunasema wanatumia vipawa vyao kujiendeleza kwa faida yao.
Katika uchumi wa kiliberali chochote kinauzika na kunulika.Hawa dada zetu makahaba wanatumia viungo vya miili yao kama wanavyotumia watu wengine kuuza na kujipatia ujira. Katika soko kuna kuuza vitu (products)na huduma(service) Huduma ni kama benki, bima, hoteli ngono nk.
Uhuru tulipata mwaka 1961, wacha watu wawe huru kufanya walitakalo maadamu hawavunji sheria. Tabia ya mtu hutembea nayo popote anapoenda. Kama mtu ana tabia ya ukahaba (mjasiriamali wa ukahaba) hawezi kuiacha kwa sababu tu anasoma Chuo kikuu. Ni kama mtu mwingine yeyote anayeweza kuzungukwa na rasilimali nyingi lakini anashindwa kuzibadilisha kuwa vitega uchumi.
An Enterprenuer is the one who sees the opportunity that others don't see
ndugu yangu naomba kuongelea upande 1 wa bodi ya mikopo, bodi imefanya upuuzi wa hali ya juu mwaka huu, ni hivi; wamechowoa kundi la wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali na kuwanyima mikopo pasipo na sababu ya msingi ni juzi tu wanafunzi zaidi ya 40 kutoka muhasi wamekesha pale bodi wakilalamika kukosa pesa tangu mwaka wa masomo uanze, tatizo naona lipo bodi.Samahani wadau sijaelewa vizuri mambo kadha wa kadha.
Hivi UDOM ni chuo cha vijana wa kike pekee.
Je bodi ya mikopo hufanya upendeleo kuchelewesha mikopo ya wanafunzi wa kike ilhali wale wa kiume inafika kwa wakati?
Je wanafunzi wa kiume wao pia wanajiuza kutoa 0713 ili kujikimu au wanafanyaje!
Yaweza ikawa kusoma chuo kikuu ni sawa na kuvuta bange.
Nisaidieni kupata majibu ili nami nitoe mchango wangu wa maoni.
1/10It is much wiser to walk away in silence then to speak the negative words in and on your mind. Once you unleash your words from out of your mouth, you cannot retract them, nor prevent them from entering into another set of ears. The process of your perception is already in motion. Use your wisdom to be the lever that gives stability to your humble attitude.
ndugu yangu naomba kuongelea upande 1 wa bodi ya mikopo, bodi imefanya upuuzi wa hali ya juu mwaka huu, ni hivi; wamechowoa kundi la wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali na kuwanyima mikopo pasipo na sababu ya msingi ni juzi tu wanafunzi zaidi ya 40 kutoka muhasi wamekesha pale bodi wakilalamika kukosa pesa tangu mwaka wa masomo uanze, tatizo naona lipo bodi.Samahani wadau sijaelewa vizuri mambo kadha wa kadha.
Hivi UDOM ni chuo cha vijana wa kike pekee.
Je bodi ya mikopo hufanya upendeleo kuchelewesha mikopo ya wanafunzi wa kike ilhali wale wa kiume inafika kwa wakati?
Je wanafunzi wa kiume wao pia wanajiuza kutoa 0713 ili kujikimu au wanafanyaje!
Yaweza ikawa kusoma chuo kikuu ni sawa na kuvuta bange.
Nisaidieni kupata majibu ili nami nitoe mchango wangu wa maoni.
Hizi taarifa zinahitaji kufanyiwa utafiti zaidi ili kujua ukubwa wa tatizo. Offcourse katika mkusanyiko mkubwa kama ilivyo katika vyuo vingine huwezi kukosa watu wenye tabia hizo.
Kuna kasumba ya wadada poa kujipaisha ili kuvutia wateja. Kinachofanyika ni hawa dada poa wa Dom kuwa hadaa wateja wao kuwa ni wanafunzi wa udom. Wateja wao nao bila kufanya kutafakari hujikuta wakiamini hivyo na habari kuendelea kusambaa. Wabongo kwa kuamini umbeya:
Tuambie je wanachuo wa kiume wao hawaathiriki na bodi ya mikopo. Tuelezeni wao wanafanyaje, mbinu wanayoitumia yaweza ikawasaidia dada zetu. Au wa kiume nao wanajiuza?ndugu yangu naomba kuongelea upande 1 wa bodi ya mikopo, bodi imefanya upuuzi wa hali ya juu mwaka huu, ni hivi; wamechowoa kundi la wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali na kuwanyima mikopo pasipo na sababu ya msingi ni juzi tu wanafunzi zaidi ya 40 kutoka muhasi wamekesha pale bodi wakilalamika kukosa pesa tangu mwaka wa masomo uanze, tatizo naona lipo bodi.
Kila binadamu anatumia kiungo kimojawapo cha mwili wake ili kujipatia kipato chake ili aweze kuishi. Wapo wanaotumia akili zao kuuza katika soko na kujiapatia mahitaji yao.
Mfano wahasibu, wahandisi, wanasheria,madaktari orodha ni ndefu. Akili ni kiungo cha mwili kama kiungo kingine chochote. Waliojaliwa akili hawakujaliwa ukahaba. Lakini wapo waliojaliwa vipawa zaidi ya kimoja kama vile wenye jinsia mbili, huamua kutumia kimojawapo. Wapo wanaotumia miguu kucheza mpira au kukimbia au hata kuruka.
Hawa nao wanajipatia ujira utokanao na matumizi ya viungo vya miili yao kama atumiavyo kahaba kiungo chake. Wapo pia wanaotumia sauti zao kuimba na kuburudisha jamii kwa ujira wa kuuza kazi zao za sauti zao. Wapo wapiga mieleka, ngumi nk. Wote hawa tunasema wanatumia vipawa vyao kujiendeleza kwa faida yao.
Katika uchumi wa kiliberali chochote kinauzika na kunulika.Hawa dada zetu makahaba wanatumia viungo vya miili yao kama wanavyotumia watu wengine kuuza na kujipatia ujira. Katika soko kuna kuuza vitu (products)na huduma(service) Huduma ni kama benki, bima, hoteli ngono nk.
Uhuru tulipata mwaka 1961, wacha watu wawe huru kufanya walitakalo maadamu hawavunji sheria. Tabia ya mtu hutembea nayo popote anapoenda. Kama mtu ana tabia ya ukahaba (mjasiriamali wa ukahaba) hawezi kuiacha kwa sababu tu anasoma Chuo kikuu. Ni kama mtu mwingine yeyote anayeweza kuzungukwa na rasilimali nyingi lakini anashindwa kuzibadilisha kuwa vitega uchumi.
An Enterprenuer is the one who sees the opportunity that others don't see
Kila binadamu anatumia kiungo kimojawapo cha mwili wake ili kujipatia kipato chake ili aweze kuishi. Wapo wanaotumia akili zao kuuza katika soko na kujiapatia mahitaji yao.
Mfano wahasibu, wahandisi, wanasheria,madaktari orodha ni ndefu. Akili ni kiungo cha mwili kama kiungo kingine chochote. Waliojaliwa akili hawakujaliwa ukahaba. Lakini wapo waliojaliwa vipawa zaidi ya kimoja kama vile wenye jinsia mbili, huamua kutumia kimojawapo. Wapo wanaotumia miguu kucheza mpira au kukimbia au hata kuruka.
Hawa nao wanajipatia ujira utokanao na matumizi ya viungo vya miili yao kama atumiavyo kahaba kiungo chake. Wapo pia wanaotumia sauti zao kuimba na kuburudisha jamii kwa ujira wa kuuza kazi zao za sauti zao. Wapo wapiga mieleka, ngumi nk. Wote hawa tunasema wanatumia vipawa vyao kujiendeleza kwa faida yao.
Katika uchumi wa kiliberali chochote kinauzika na kunulika.Hawa dada zetu makahaba wanatumia viungo vya miili yao kama wanavyotumia watu wengine kuuza na kujipatia ujira. Katika soko kuna kuuza vitu (products)na huduma(service) Huduma ni kama benki, bima, hoteli ngono nk.
Uhuru tulipata mwaka 1961, wacha watu wawe huru kufanya walitakalo maadamu hawavunji sheria. Tabia ya mtu hutembea nayo popote anapoenda. Kama mtu ana tabia ya ukahaba (mjasiriamali wa ukahaba) hawezi kuiacha kwa sababu tu anasoma Chuo kikuu. Ni kama mtu mwingine yeyote anayeweza kuzungukwa na rasilimali nyingi lakini anashindwa kuzibadilisha kuwa vitega uchumi.
An Enterprenuer is the one who sees the opportunity that others don't see
Sasa kuingia na kutoka chuoni ndo kunaweza kuprove kuwa wanatoka kujiuza chuo. Pale wanafunzi wengi wanakaa mtaani, sasa akiwa na discusion hadi late night akitoka kurudi kwake anajiuza etc.
Mimi Dodoma nimekaa sana. Zamani vibinti vilijidai wanafunzi wa cbe, Sasa UDOM.
Ninachopinga ni jinsi mnavyotaka watu waamini kwamba hali pale UDOM ni mbaya kupondukia
Kuna soko zuri pia, waheshimiwa ni wateja wazuri!! Nchemba upo!!!
ukweli utabaki kuwa ukweli loan board nitatizo na nijanga kwa taifa. inauma sana kuona dada zetu wanajiuza kwa tsh 500 au 1000 kuna maswlai mengu sana yasiyo na majibu kama kweli ni hivyo dada zetu waangalie na utu wao, heshima waliyonayo kama wasomi. Pia kwa upande mwingine serkali ifumue mfumo mzima wa load board nje yahapo tutaendelea kuongeza ukimwi na kuandaa wasomi waliooza wanaosubiri kifo baada ya kuathirika na HIV
Tuache kutetea ujinga jamani,si kweli kuwa kuchelewa kwa mikopo ndio sababu,mi nipo mtwara kwa miaka mingi,nimepata ufahamu wa tatizo hili kupitia wanachuo wa saut,hanasa ndio sababu kubwa ya tatizo hili,huku wanajiuza tena kwa kukulazimisha kabisa.