Recent content by six packs

  1. S

    JamiiForums Tanzania Rama Dee: "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye kazi"

    Msanii wa rnb Rama Dee wakati akihojiwa kwenye kikaangoni eatv, ametoa ushauri kwa Lowassa juu ya uhusikaji wake kwenye siasa, "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye Nazi, kwa kawaida wazee wetu wakifika miaka 55 au 60 ni umri wa kupumzika"
  2. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Frequencies za channel za tv za Tanzania

    Habari wanaJF Kwa bahati mbaya nimefuta Chanel zote za tanzania kwenye Receiver yangu hivyo sipati tena chanel za hapa nchini, hivyo basi naomba msaada kwa mtu mwenye frequency za ITV, TBC, Chanel Ten, StarTV na pia za kenya kama K24 na KBC anipatie ili niziweke.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Hizi ni sababu za kwanini Diamond ataendelea kufanikiwa zaidi

    Kwamba Ruge ndio anawashawishi wadau wakanunue nyimbo wasafi.com? Unaundugu na Bashite?
  4. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Wadau hivi ni website ipi ninayoweza kudownload movies kwa format ya 3gp?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tuhuma za Dawa za Kulevya: Askofu Gwajima aachiwa kutoka polisi

    Waumini wangeenda kusali polisi kesho
  6. S

    JamiiForums Tanzania Harmo Rapper: Hata kwa dau gani kamwe siwezi kujiunga na Wasafi

    Nadhani kilichobaki ni kutoa ngoma kaliii kamshirikisha Lemutuz atakuwa ametoka mazima
  7. S

    JamiiForums Tanzania Alivyotumbuiza Diamond na wenzake Gabon

    Team Wahapahapa mnashida sana, na pengine hujaangalia show kabisa maana usingepata nguvu za kuandika shudu hilo.. Diamond ametisha sana kuanzia kuimba, kucheza, mavazi hadi kuipeperusha bendera yetu...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Mbona king Kiba akipata tuzo watu hawashtuki tofauti na akipata Diamond?

    Ishu ni kuwa tuzo anazookota ni za mchangani hazina tofauti na zile za H baba..
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tushirikishane 'Apps' nzuri za simu za Android

    Habarini wadau. Naomba mnisaidie kama kuna app au hata website ninayoweza kudownload series za mexico/telenovela
  10. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sijaulewa wimbo huu wa shishi baby

    Acheni kumchukulia poa ShishiTrump, Jlo mwenyewe anauelewa vizuri mziki wake... "Shimo la wengi, la kuweka takataka" kwa neno moja linaitwa "Jalala". Kwahiyo unaweza kusema Shimo/Shilole na Takataka/Mabaya..
  11. S

    JamiiForums Tanzania Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

    Inahitaji nguvu ya ziada kufika views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Hii ni orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya views milioni 2 peke yake. 1. Diamond f/ Raymond – Salome Imetoka: Sep 18, 2016 Views: Milioni 11...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

    Hivi hiyo Sony inayomsimamia ni ya kariakoo? Kuanzia management hadi msanii 0%
  13. S

    JamiiForums Tanzania Alikiba agoma kufanya show Dodoma, vurugu zatokea

    Wapo busy kumfuatilia Diamond, watapata wapi muda wa kumpromote Kiba?
  14. S

    JamiiForums Tanzania King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

    Japo simkubali kiivo huyu jamaa, ila baada ya kuona hizo picha za performances namuonea huruma sana hasa wale vilaza wanaojiita ni mashabiki zake kumtaka awe juu ya Dangote... Kibaya zaidi wanasema ni mashabiki wa kiba ila hawaendi kwenye show wamekaa ndani kufuatilia show ya Diamond ili wapate...
  15. S

    JamiiForums Tanzania King Kiba anafunga Mwaka Leo ndani ya capital city Dodoma

    Upo kwenye show lakini unatuletea pic ya promo badala ya kutuletea picha ya tukio?
Back
Top Bottom