Video za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi kwenye Youtube mwaka 2016

six packs

Member
Dec 23, 2015
62
203
Inahitaji nguvu ya ziada kufika views milioni 2 kwa mwaka mwenye mtandao wa Youtube. Hii ni orodha ya video 16 za wasanii wa Bongo zilizotazamwa zaidi mwaka 2016. Hizi ni zile ambazo zina zaidi ya views milioni 2 peke yake.

1. Diamond f/ Raymond – Salome
Imetoka: Sep 18, 2016
Views: Milioni 11
Comments: 7,329

2. Harmonize f/ Diamond – Bado
Imetoka: Feb 29, 2016
Views: Milioni 10
Comments: 3,310

3. Diamond f/ P-Square – Kidogo
Imetoka: Jul 12, 2016
Views: Milioni 8.2
Comments: 5,032

4. AY feat. Diamond – Zigo Remix
Imetoka: Jan 22, 2016
Views: Milioni 8.1
Comments: 3,636

5. Diamond and AKA – Make Me Sing
Imetoka: Feb 12, 2016
Views: Milioni 5.8
Comments: 3,054

6.Raymond – Kwetu
Imetoka: Apr 14, 2016
Views: Milioni 5.2
Comments: 2,886

7. Alikiba – Aje
Imetoka: May 19, 2016
Views: Milioni 5.1
Comments: 4,394

8. Harmonize – Matatizo
Imetoka: Jul 4, 2016
Views: Milioni 4.4
Comments: 3,093

9. Sauti Sol and Alikiba – Unconditionally Bae
Imetoka: Mar 10, 2016
Views: Milioni 4.1
Comments: 3,161

10. Dully Sykes f/ Harmonize – Inde
Imetoka: Aug 11, 2016
Views: Milioni 3.8
Comments: 1,761

11. Chege f/ Diamond – Wacha Waone
Imetoka: Aug 4, 2016
Views: Milioni 3.5
Comments: 1,682

12.Raymond – Natafuta Kiki
Imetoka: Aug 31, 2016
Views: Milioni 3
Comments: 1,406

13. Rich Mavoko – Imebaki Story
Imetoka: Jun 2, 2016
Views: Milioni 2.7
Comments: 2,135

14. Darassa ft Ben Pol – Muziki
Imewekwa: Nov 23, 2016
Views: Milioni 2.4
Comments: 2,613

15. Navy Kenzo – Kamatia
Imetoka: Jan 27, 2016
Views: Milioni 2.38
Comments: 1,023

16. Alikiba – Lupela
Imetoka: Feb 7, 2016
Views: Milioni 2.37
Comments: 2,785
 
Yule jah prayza wa Zimbabwe alikuwa hajawahi fikisha hata views lakin 1, alivo fanya na diamond aka oata views milion 1 alifanya hadi sherehe, akaangusha bonge ya party huko Zim
Kupata views si mchezo
Weka hapa link ya youtube channel yako na u upload ujinga wowote, nikununulie views halafu ni screen shot nitume hapa.
 
Wazim sasa hivi wanamjua Diamond kuliko tunavyomjua sisi.

Ukizingatia kule hakuna tim so nchi nzima wana muelewa diamond ile mbaya na vile ali imba kishona bas wanaona raha.
Yaan jah prayza mpaka akienda kanisani wana mwambia asimame azungumze machache jinsi ule wimbo walivo ukubali
 
Kuna dada wa Kizim alikuwa ananihadithia juzi Zari alivyopata mtoto wa pili wa Diamond.
 
Hehehe, kwa hiyo kwa lugha nyingine ukitaka kuchoma top 10 watafute wasafi.
Hili balaa hili, ningependa kuona watu wanajitokeza kutoa competition kwa wasafi, competition ni kitu kizuri, so far hakuna.
 
Yule jah prayza wa Zimbabwe alikuwa hajawahi fikisha hata views lakin 1, alivo fanya na diamond aka oata views milion 1 alifanya hadi sherehe, akaangusha bonge ya party huko Zim
Kupata views si mchezo

Jamaa anamuona Diamond kama Mungu, alipopata Award ya hiyo nyimbo yake ya WATORA MARI, alimshukuru sana Diamond na kusema hakuyegemea kuwa atapata award katika mziki wake anaoufanya
 
Wajitahidi hata mwakani wafikishe zaidi ya viewers millioni 50 kwa mwaka, wasilewe sifa.
 
Jamaa anamuona Diamond kama Mungu, alipopata Award ya hiyo nyimbo yake ya WATORA MARI, alimshukuru sana Diamond na kusema hakuyegemea kuwa atapata award katika mziki wake anaoufanya
Hahahha
Namkubali kuwa ana appreciate uwepo wa diamond. Sasa akaze zaid.
Ila amejitahidi kwani pia kamuongezea fan base ya nguvu bhana diamond.
 
Back
Top Bottom