Mbona king Kiba akipata tuzo watu hawashtuki tofauti na akipata Diamond?

isho_boy

JF-Expert Member
Sep 22, 2015
2,145
1,892
Nimejaribu kufatilia kuhusu hiz tuzo akishinda kiba blogs kama zina delay hiv kutoa taarifa halafu kuna kuwa hakuna zile attention tofauti na team yake kujaribu Ku draw attention kwa watu but peolpe they don't care about those things

Je kweli tatzo ni nyota....inasemakana kiba nyota yake ya kivuli kwenye giza inapotea, je kweli kuna uhalisia hapa?
 
Kwenye biashara yoyote ukifanikiwa vitu viwili tu marketing na innovation basi utatusua vibaya sana. Diamond kajiweka sawa kwenye vyote ndio maana hatuachi kumzungumza.

Pia naona diamond hatengenezi urafiki, yeye anatengeneza links na relationships, vitu hivi vinamtofautisha na wasanii wengine.
 
KIBA NI MKALI TOKA KITAMBO, YAANI NI SAWA NA SAMATA KUPATA GOLI GNK HUSHTUKI MAANA TUSHAZOEA.
LAKINI PIA HUWA NAHISI BAADHI YA WENYE BLOG HAWANA UKARIBU SANA NAYE.
LAKINI NI UKWELI USIOPINGIKA JAMAA AMEFANYA VIZURI KWA 2016 AU NAWEZA SEMA N MOJA KATI YA WATU WALIOJITAHIDI KWA 2016.
 
Branding ...... Diamond kaji brand... Ali yeye hajajibrand vizuri binafsi huwa namuona kama mtu flan mwenye kipaji sana ila kama ana amini anakubarika sana sasa hii inamfanya asihangaike kujiweka sehem flan juu. Pia naamini asingelikuepo diamond yeye angekua kama hawa wengne tu hapa nyumban level za akina abby skillz na dully...
 
Ninachomngea Diamond amenoghoshia mpaka kwa mashabiki wake ebu basi nawe!!
d9a9e439ed55c1239ee918cabac8d476.jpg

Msimuu huu wa mwaka mpya na sikukuu.
 
Jambo linapofanywa na DIAMOND ni breaking news,huyo mwingine hana tofauti na shilole,lakini pia hivo vituzo anavyopewa havina hadhi ya kuandikwa.
 
Kiba sio underground...domo underground ndio maana watu wanashtuka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom