Rama Dee: "Lowasa anapaswa apumzike awaachie watu wafanye kazi"

Kumbe Rama Dee yupo.... Taarifa za mwisho kumskia niliskia aliolewa na mzungu Jackton
 
Imebidi nishangae ,huyo Lowasa yupo kimya kabisa mzee wa watu wala haonekani kwenye media ,sasa kawazuia vipi watu kufanya kazi?

Huyu Ramadee naona anatafuta kiki anajua akimtaja Lowasa watu watamdiscus tofauti angemtaja kipara ngoto
 
Kwani nani anayewalipa watukanaji?
 
huyu Rama Dee sijui kawaje anaropokwa sana siku hizi ebu mwache baba wa watu
 
Imebidi nishangae ,huyo Lowasa yupo kimya kabisa mzee wa watu wala haonekani kwenye media ,sasa kawazuia vipi watu kufanya kazi?

Huyu Ramadee naona anatafuta kiki anajua akimtaja Lowasa watu watamdiscus tofauti angemtaja kipara ngoto
Nimeipenda Kipara Ngoto.
 
Huyu naye Bangi zimempanda kichwani. Hana lolote.

Lowassa amemzuia nani kufanya kazi?
 
Rama D,mmoja ya kipaji adimu kabsa cha RnB Tanzania,,mmoja ya msanii mwenye Melody kali kabsaa,,,anajua kuimba,anajua kuandika ila havumi kabsaaaa daaah sijui kwa nn yan
 
Hana nyota, sasa naona anaitafuta kwa nguvu
 
Rama D,mmoja ya kipaji adimu kabsa cha RnB Tanzania,,mmoja ya msanii mwenye Melody kali kabsaa,,,anajua kuimba,anajua kuandika ila havumi kabsaaaa daaah sijui kwa nn yan
Anapenda kutukana wakubwa ndio maana hafanikiwi.Alimtukana Ruge japo kwa Lowassa kaongea ukweli.
 
Back
Top Bottom