Recent content by siwalaze

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaoomba kujiunga na vyuo vikuu: Je, ukasome shahada na chuo gani?

    Mdogo wangu hebu jifunze kwanza kuandika Kiswahili kilichonyooka! Si ajabu ukawa unashindwa kujibiwa mswali yako(hata kama Mwalimu Mndeme kakujibu), kutokana na namna unavyoandika. Xamahan ndio lugha gani? Vipi kuhusu kuxoma? na mblmbl je?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Ajali Mbeya: Lori na mabasi mawili ya abiria yagongana

    Chanzo cha ajali ya jana ni Gari la Best Line kutokuwa na break na kabla ya ajali hiyo alishagonga Hiace maeneo za Mbeya Mjini wakati anaondoka stand kuu, na abiria walishampigia kelele!!! Ajali ingehusisha gari nne Ikiwemo Upendo isingekuwa Juhudi za gari la Upendo kumpisha Bestline!! Hata...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kampuni 15 zashindwa kulipa kodi za kontena 329 zilizotoroshwa katika Bandari Kavu ya Azam

    Walioshindwa ni hao hapo!!!
  4. S

    JamiiForums Tanzania Wana Mathematics naombeni jibu au kama una IQ nzuri pia inakuhusu.

    (8+7)+(9-2)-4=18 (5+7)+(8-3)-4=13 (1+2)+(6-1)-4=4 (6+2)+(3-1)-4=6 Right?
  5. S

    JamiiForums Tanzania Siombi tena kazi za utumishi

    Yumkini ndio sababu hata UTUMISHI wanamnyima kazi! Teh teh teh! Kaka,hebu pitia CV yako na barua yako vizuri!! Yawezekana hata mpango wa CV yako pia
  6. S

    JamiiForums Tanzania Unafanya nini baada ya kumaliza ku 'DO'?

    unarekebisha kwa kukosea!! loh two wrongs make one right
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kala jeremiah amerudi kivinginE...

    Chukua hiyo
  8. S

    JamiiForums Tanzania Tumsaidieje huyu mtoto aweze kupata elimu kama wenzake? Inatia huruma!!!

    ni ya anglican ruaha diocese,boarding,ada ni kama 120k per year plus mahtaji mengne ya msing kwa boarding
  9. S

    JamiiForums Tanzania Tumsaidieje huyu mtoto aweze kupata elimu kama wenzake? Inatia huruma!!!

    kuna shule ipo iringa mtwivila
  10. S

    JamiiForums Tanzania Andika kwa maneno ya kiswahili namba hizi 10,0001 na 11,000..

    dah! Hyo namba ya kwanza chaka aisee!
  11. S

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wakali Tanzania upande wa radio!

    Ben Kiko Ezekiel Malongo Charles Hilary Jacob Tesha
  12. S

    JamiiForums Tanzania somo la hisabati liangiwe

    Ha ha ha ha!! Loh!! y=x/3
  13. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

    Ukiona huna jibu,unakula buyu tu dada!! Mbona swali liko open!! By the way sifanyi serikalini! Kuna kosa hapo?? Rudi,kajipange dada!!!
  14. S

    JamiiForums Tanzania Ngazi mpya za mishahara tanzania 2012

    Hellow GTs,.naweza kupata muongozo wa ngazi mpya za mishahara kwa mwaka huu? Tafadhali,nahistaji msaada wadau!! Nahitaji kweli kweli!!! AHSANTENI
Back
Top Bottom