Siombi tena kazi za utumishi

ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
 
bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,384
2,000
Kaka katika maisha hakuna kuchoka wala kukata tamaa, unapambana mpaka siku ya mwisho so kazi hazitangazwi tu utumishi na wala utumishi haiwezi kukurudisha kijijini tembelea magazeti na pia ongea na ndugu wa aina mbali mbali maana kuna kazi huwa zinatangazwa ndani kwa ndani so km unakuwa na mtu wa kukutonya unadrop cv yako hapo
 
asante kwa ushauri mkuu make roho inaniuma kweli usanii tunaofanyiwa
 
Nicole

JF-Expert Member
Sep 7, 2012
4,274
0
Hivi ww kumbe bado uko mjini? Utakula nyasi wenzio tulisharud kitambo tuna majaruba ya ukwel tunalima mpunga na kupiga mawe ya kutosha...
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
 
ndomyana

JF-Expert Member
Jan 24, 2012
4,886
2,000
Hivi ww kumbe bado uko mjini? Utakula nyasi wenzio tulisharud kitambo tuna majaruba ya ukwel tunalima mpunga na kupiga mawe ya kutosha...
sikustuka kaka wacha nirudi nikarime make hii hali sio nzuri apa mjini
 
Von Mo

JF-Expert Member
May 7, 2012
1,824
2,000
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
umetuma mara 40 tu, wakati field tu kuna jamaa alituma barua 20 hakupata hata moja
watu tumeapply zaidi ya mara 100 na tumeitwa si zaidi ya 10 na tumepata si zaidi ya 2.
komaa mtoto wa kiume huko kijijini unakwenda kuwakatisha tamaa jamaa na ndugu.
 
CAY

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
506
250
Mimi sijawahi kuitwa,lakini najipa moyo kuna siku nitaitwa.Sitaacha kuomba,wewe acha ili upunguze ushindani.Sisi ndiyo tutatokea hapo hapo.
 
mbwiganyuki

Senior Member
Nov 3, 2012
157
225
Mimi nimemaliza Chuo 2009 UDSM, sijawahi itwa kwenye interview hata moja!, sijawahi pata kazi nimetuma maombi hata idadi yake siikumbuki maana ni mengiiii mno ila nipo hapa town na maisha yanasonga kibingwa ukiniona utadhani nina mijihela kumbe wapiii ila sijakata tamaa bado na endelea kutuma maombi mpaka nione mwisho wake ukoje! so usikate tamaa ndugu yangu haupo wewe pekee!
 
Chibolo

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
4,018
2,000
Umenikumbusha
mbali ndg,yangu 2008 nilipopigwa changa la macho nimeitwa kwenye
interview Tanga kumbe jamaa walishapata watu wao na hata
walishaanzakazi,wkt najieleza ile panel ya wazee ilinicheka kwa sanifu eti cjui kizungu.nilichukia hadi ss sina hamu tena na kazi za hii serikali.
 
Nokla

JF-Expert Member
Aug 12, 2012
2,892
2,000
Mimi nimemaliza Chuo 2009 UDSM, sijawahi itwa kwenye interview hata moja!, sijawahi pata kazi nimetuma maombi hata idadi yake siikumbuki maana ni mengiiii mno ila nipo hapa town na maisha yanasonga kibingwa ukiniona utadhani nina mijihela kumbe wapiii ila sijakata tamaa bado na endelea kutuma maombi mpaka nione mwisho wake ukoje! so usikate tamaa ndugu yangu haupo wewe pekee!
He kumbe hata UDSM mnasota? Mi nilizani VYUO VYA KATA tu! Sasa imekuaje hadi nyie msote mtaani?
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
umetuma mara 40 tu, wakati field tu kuna jamaa alituma barua 20 hakupata hata moja
watu tumeapply zaidi ya mara 100 na tumeitwa si zaidi ya 10 na tumepata si zaidi ya 2.
Komaa mtoto wa kiume huko kijijini unakwenda kuwakatisha tamaa jamaa na ndugu.

thats right,,
asikate tamaa,subira yavuta heri sana,huku akiendelea kutafuta
 
THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
13,999
2,000
kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

Ushauri
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
usikate tamaa ndugu yangu..
 
Agrodealer

Senior Member
Mar 19, 2011
108
0
Kwanzia nianze kuomba hizi kazi zaidi ya mwaka sjawai itwa kwenye interview,.
Nimetuma maombi karibia mara 40 na vigezo vyote wanavyotangaza ninavyo.
Hata watu nao wafahamu ambao walishawai itwa interview hawajawai pata kazi hata mmoja.
Hi inaonyesha kuna mchezo mchafu utumishi wanaoufanya.

USHAURI
vijana tusiona kazi turudi kijiji tukalime tuachane na hawa utumishi wanatuchezea akili,.
Usishangae wala usichoke wala haupo peke yako kiongoz. Mimi nimefanya interview zao sasa ni saba na sijabahatika kuingia oral hata 1 cha kushangaza kuna moja juz kati nilifanya kwa mkuu wa mkoa wa klm nilijibu vzr had nikafurah matokeo 40 hahaha nilijidharau na ndipo niliposema sitafanya tena intetv za utumish.
 
mbwiganyuki

Senior Member
Nov 3, 2012
157
225
He kumbe hata UDSM mnasota? Mi nilizani VYUO VYA KATA tu! Sasa imekuaje hadi nyie msote mtaani?

We unacheza na hii nchi nini? sasa hapo usidhani kuwa qualifications ninazo tena nzuri sasa sielewi elewi haya mambo yanakuaje kuaje hususani kwenye nchi changa kama hii ambayo kiukweli bado inahitaji wasomi katika nyanja mbalimbali, eti mapema hivi inashindwa kuwapa nafasi za ajira wasomi wenyewe hata sio wengi kama inavyofikiri.
 
siwalaze

Senior Member
Oct 7, 2010
125
195
Masahihisho:
wacha-acha
nikarime-nikalime
make-maana yake
apa-hapa
Nakuhakikishia ukiyafanyia kazi hayo masahihisho hutoenda kijijini.
Yumkini ndio sababu hata UTUMISHI wanamnyima kazi! Teh teh teh! Kaka,hebu pitia CV yako na barua yako vizuri!!
Yawezekana hata mpango wa CV yako pia
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom