somo la hisabati liangiwe

mtaftaukweli1

Member
Sep 21, 2012
27
1
serikali sasa lazma iweke mikakati ya makusudi ili kuhakikisha somo la hisabati lina taftiwa usfumbuzi,

wanafunzi wana lalamika kuwa somo eti ni gumu,mi nazan sekari kupitia wizara hucka watafte tiba maana hali ni

mbaya ,takwim zinaonesha kati ya masomo yanayo ongoza kwa wanafunzi kufell ni somo la hesabu primary na hata sekondary lakini pamoja na takwimu hizo hakuna mikakati maalumu .
 
si serikali iliangalie hili swala... 1.wanafunzi husika pia wanatakiwa kujituma ili kumaster the subject,hili litafanikiwa iwapo wazaz na walimu wataweka mkono wao katika swala hilo 2. 'gene' inheritance wazaz hawakuipenda hesabu how coms mtoto apende
aim:wabongo weng ni wavivu na tunakata tamaa mapema na pia tunapenda easy thngs
fact:mathematics is all about sacrifice

tukiacha kuchanganya mambo meng kwa wakati mmoja tatizo litakua limekwisha

...nawasilisha.
 
Serikali haina nia ya dhati ya kuinua hili somo,
Kama darasa la saba wamewekea "multiple choice" basi tutegemee msiba zaidi kwenye hili somo
 
Mkuu habari ndo hiyo,maswali yote 50 ni ya kuchagua kitendo ambacho hata mwanafunzi anaweza kubuni majibu ama kuibia kwa urahisi.
 
Nakubaliana na wewe mkuu lakini mimi naona kabla ya kuilaumu Serikali,embu tuanzie katika ngazi ya familia kwamba watu waondoe ile fikra mbaya kwa HESABU ni ngumu siku zote. Nimesema hivi kwa sababu,sasa hivi hata mtoto wa darasa la 2 atakuambia HESABU ni ngumu,hii ni kwa sababu ameshajengewa hiyo fikra mbaya kuanzia kwenye familia yake.Hii inamuwia ugumu hata mwalimu shuleni kuweza kumbadili mtoto huyo.Mabadiko yaanzie kwetu alafu serikali nayo iunge mkono.Sijafurahiwa na serikali yetu kubadili mitihani yote ya drs la 7 kuwa kuchagua likiwemo HESABU,hii ndo itashusha zaidi maendeleo ya hili somo hili.
 
Serikali haina nia ya dhati ya kuinua hili somo,
Kama darasa la saba wamewekea "multiple choice" basi tutegemee msiba zaidi kwenye hili somo

wao hawajali nyie mnaenda wapi wanajaribu kupunguza gharama na kurahisisha zoez la usahihishaji kulingana na system mpya ya computerizing
 
wao hawajali nyie mnaenda wapi wanajaribu kupunguza gharama na kurahisisha zoez la usahihishaji kulingana na system mpya ya computerizing

Uamuzi kama huu hauna tofauti na ule wa kupandisha bei ya mafuta ya taa ili kuwarahisihia matajiri wasichakachue petrol na Diesel,

But hawakujali wananchi wa kijijini wanaotumia haya mafuta ya taa watateseka vipi!!!!!!
 
serikali sasa lazma iweke mikakati ya makusudi ili kuhakikisha somo la hisabati lina taftiwa usfumbuzi,

wanafunzi wana lalamika kuwa somo eti ni gumu,mi nazan sekari kupitia wizara hucka watafte tiba maana hali ni

mbaya ,takwim zinaonesha kati ya masomo yanayo ongoza kwa wanafunzi kufell ni somo la hesabu primary na hata sekondary lakini pamoja na takwimu hizo hakuna mikakati maalumu .

Unataka nini hasa? Suala hapa inabidi kuweka mikakati bora ya ufundishaji na kumotivate wanafunzi wapende na kusoma Hisabati. hiyo ndiyo solution
 
Uamuzi kama huu hauna tofauti na ule wa kupandisha bei ya mafuta ya taa ili kuwarahisihia matajiri wasichakachue petrol na Diesel,

But hawakujali wananchi wa kijijini wanaotumia haya mafuta ya taa watateseka vipi!!!!!!

hawa ndio viongozi wa serikali yetu watajuaje maisha ya kijijini wakati mda ote wako mjini?
 
YAFUATAYO YAFANYIKE NDIPO SOMO LA HISABATI LITAELEWEKA NA MATOKEO YAKE YATABOREKA NA SOMO KUWA NA MANUFAA KWENYE JAMII
1.waandaliwe walimu wenye uwezo sio waliofeli hesabu ndio wawe walimu wa hesabu mfano; mwenye div 4 pt 26 anaweza akawa amefaulu hesabu o level
2.walimu wapewe maslahi stahili yenye kumotisha
3.wanafunzi waandaliwe kisaikolojia ilii wawe na utayari kujifunza
4.
mazingira ya kufundishia na kujifunzia yaboreshwe ukiwamo uwiano wa mwl kwa mwanafunzi.
5.mtaala na mfumo mzima wa elimu yetu uboreshwe ikihusisha pia namna ya
kuwapima wanafunzi uelewa wao.
 
Hapo mbona sijakuelewa embu fafanua kama ukiweza, kuna uhusiano gani kati ya genetic inheritance na mtoto kupenda Hesabu?

mkuu sikua sana kwenye bios ila nlimaanisha wazazi weng huwa hawatoi support ya kutosha kwa watoto wao juu ya somo husika na pia watoto hukuzwa katika mazingira ya kupuuzia vitu ka kitu cha mwisho lazima 2kubali tanzanian tunapenda kulidhika mapema na hii tunahamishiana vizazi na vizazi
 
ndugu mambo kama hayo ni kweli maana kweli mtoto wa darasa la pili amejuaje tena kabla ya kusoma ?maana yake kuna watu hata katika familia wanakatisha tamaa lakin pia hata serikari ipokee maoni ya wataalam nasikia chama cha hisabati kinapotoa maoni seikari haizingatii
 
true ,itafikia kipind kuondoa aibu serikari ita amua somo la hesabu liwe option ili mwanafunzi tangu mwanzo kidato cha tatu achague kuendelea na hesabu au la kama ili vyo somo la kifaransa au chemistri
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom