jamani nisaisieni kwa yeyote aliye online muda huu mimi nimefata procedures zote za kuangalia TBC online ila baada ya ku 'paste' ile urrl yao imeniletea 'sign in halafu 'enter password nifanyeje?heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeelp
bonge la wazo i ever heard.tuungane kwa kuanza tujulishane tuko pande za wapi.uhakika katika kila chuo wapo wanaharakati wengi tu kama sisi.halafu organisation ikiwa kubwa tufanye kuonana tunapanga sikumoja tunakutana TANGAZO LITAWEKWA HUMUHUMU.kisha tunaendeleza mchakato au sio jamani?
totaly true.jamani ee nani hajui kuwa kura zimeibiwa?hebu toeni mawazo yenu tufanyeje?cuz tunaoumia n sisi wananchi wala sio hao watawala na wala sio hao wanasisiem....ninaposema wanasisiem simaanishi wavaa kofia na shati huku wakishangilia kawa hawana akil nzur NO!namaanisha hao wakubwa...
really i cn die kwa ajil ya mafisadi.hv jamani watu hawaoniiiiiiiii?au ni elimu ndio haijafika kwa wananchi au ni kip kinachofanya watu wa mikoa ya moro,tanga mtwara na mingine kama hiyo kuwapa kura watu wasiowajali?JAMANI TUFANYEJE TUYATOE HAYA MAFISADI?YAMESHAJONGEA MJENGONI......nawaambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.