Recent content by Sirbus

  1. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupakua videos za YouTube | How to download YouTube videos

    Huna haja ya kujaza pc yako na maprogram, fungua link ya video unayotaka kisha baada ya www. Weka ss then link.. Mfano kama link ya video ni www.dsgjdkkahie.com Ongeza ss hivi www.ssdsgjkkahie.com Itakupeleka kwenye page utakayodownload quality unyotaka iwe audio au video ya hiyo...
  2. Sirbus

    JamiiForums Tanzania NMB Wameita Interview?

    Kuna ile waliyotangaza ya Bank Teller mi wamenijibu kuwa hawata advance na application yangu..
  3. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Uraia Tanzania..

    Umenipa mwanga mkuu asante sana.. Japo nawaza iwapo aliukana uraia wake wa awali ataruhusiwa kuurejea tena? Kama ndio, ni mara ngapi anaweza kuruhusiwa kuurejea uraia wake hasa km ni mtanzania ameolewa nje akaukana utz na baadae kutaka kuurudia utz kutokana sababu mbali mbali..
  4. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Ndoa na Uraia Tanzania..

    Msaada wa uelewa please Wana jamvi naomba kufahamu, maana naamini humu kuna wataalam mbali mbali ikiwemo magwiji na wataalam wa sheria.... Swali langu~ Mtanzania mume anapooa mwanamke wa nchi tofauti mathalan mganda, yule mwanamke anapata uraia wa Tanzania.. Je, wanapoachana, either kwa...
  5. Sirbus

    JamiiForums Tanzania HESLB wametoa majina ya mkopo mwaka 2015/16

    Duh System imechange, kwa taarifa zisizo rasmi zile za jana ilikuwa makosa, ila nadhani sasa wametoa japo sijafanikiwa kuingia ni mwendo wa "Loading..." kama nusu saa nzima aisee
  6. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Mkopo

    Hata mimi No full Name, No Institution Name au ndio tusubirie batch ya II maana hata Reasons za kukosa Hakuna. Wazoefu help us
  7. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

    Friends of Lowassa :: Official Website
  8. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa rais, tumia tunu yako ya matamko!! Don't abuse presidential seat!!!

    Friends of Lowassa :: Official Website
  9. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Lowassa awalaani wanaomzushia mambo kupitia Mitandao ya Kijamii!

    ====== TOVUTI YA FRIENDS OF LOWASSA -=== Watu wako kivitendo zaidi Friends of Lowassa :: Official Website
  10. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Friends of E. Lowassa

    ====== TOVUTI YAO HIYO HAPO ======== Friends of Lowassa :: Official Website
  11. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Friends of Edward Ngoyai lowassa Ndossi special thread

    Jamani acheni kubishana..fuatilia taarifa zote hapa soon kila kitu kitakuwa hewani... Mhe. Lowassa ndio the right candidate for 2015-20....nakuendelea Friends of Lowassa
  12. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Kifo cha RPC Mwanza: Maswali ya Bei Mbaya...

    Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza RPC Liberatus Ballow ameuwa usiku wa kuamkia leo na watu wanaosadikiwa kuwa majambazi katika eneo la Kitangiri karibu na Hotel ya Tai Five majira ya kati ya saa saba hadi nane. Haya yamesemwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambaye pia ni Mkuu wa...
  13. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Kwanini ma SUPA STAA wanakufa vifo vya ajabuajabu?

    Jamani mm nashindwa especially kifo cha kanumba....cjui nini niseme guys
  14. Sirbus

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwolewaji huyu hapa!

    Msione hatari kukaa bench>>>God has a plan and a reason for all that you are undergoing...Believe me the right time has not yet come...hata sisi tunajiuliza tutaoa lini maana madem wanatupiga bench but iko cku
  15. Sirbus

    JamiiForums Tanzania pozi kali la mwaka la celebrity wetuuuuu!

    Pozi la ukweli...Kama bibi kidudemzee
Back
Top Bottom