Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
talkative n pointless.. nthng else .. !
Teh teh kundi la wanuka mdomo!!!
talkative n pointless.. nthng else .. !
Angalia lugha hapo mkuu, kuna neno lina ukakasi!
BACK TO TOPIC. Itakuwa sio mbaya wanaomkataa EL watupe mbadala kutoka hicho chama.
Kwa upande wangu sisemi 100% kuwa EL ndio bora, ila nawauliza wenye kudhani hafai, watupe jina la aliye bora kumzidi yeye. Maana unapomkataa tu bila kutupa alternative haueleweki.
Mpaka sasa kwa upande wangu sioni kama Lowassa ana mpinzani, sisemi ni msafi, kama binadamu ana mapungufu yake, ila kwa vile sioni alomzidi, mpaka sasa he's my choice.
Pamoja na yote aliyobebeshwa whether ni kweli au uongo, ni mchapa kazi, sio muoga, wote tulimuona ufanisi wake katika muda mfupi aliokua waziri mkuu, hakupumzika hata mara moja, mpaka alipojiuzulu. Nani kama yeye...???
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Friend of Lowassa ni Wanyonge wa Taifa hili bila ya kujali Dini zao,Kabila zao,Elimu zao,Kipato chao. Tena kwa Taarifa yenu Zile Tishert wametengeneza Wanyonge wenyewe kwa Mapenzi yao kwa Mpigania haki wao Mh. Edward Ngoyai Lowassa (MB).
Aliponiacha hoi Lowasa ni pale anapojaribu kuondoa tatizo La ajira nchini kwa kugawa bodaboda. Mwenzetu huyu sijui alisomea wapi macroeconomics. Niwakuonewa huruma, anadhalilisha taaluma ya uchumi. Mungu epushia mbali balaa hili.
Angalia lugha hapo mkuu, kuna neno lina ukakasi!
BACK TO TOPIC. Itakuwa sio mbaya wanaomkataa EL watupe mbadala kutoka hicho chama.
jambo kubwa linalompa lowasa marafiki wengi na kungwa mkono pamoja na umaarufu wa kisiasa anaopata sasa na kuzidi pia kuumiza vicha vya wanasiasa wengi ikiwamo wa chama chake ccm,ni technique ndogo tu aliiyoitumia. .
Kuna msemo unasema " ili kushinda vita ,lazima umjue adui yako vyema"
lowasa kaangalia ni yapi hasa matatizo ya watanzania walio wengi.
1.watanzania wamekosa viongozi wanokaa karibu nao na kuongea kuhusu matatizo yao moja kwa moja.
2.na pia ni jinsi gani ccm vyama vingine imeashindwa kutatua matatizo ya watanzania .
Lowasa kaamua kujiingiza direct na kujifanya ni kati wa wananchi wenye matatizo bila kubagua wala kujotenga .
Lowasa kawafanya wanasiasa wengeni kuonekana si watendaji bali ni wapenda madaraka na wengine kuonekana wakiwa na ahadi zisizotimizika .
Lowasa kaonekana ni mtu aliyeona shida za wananchi na kuonuesha nia ya kuwasaidia kwa chochote alicho nacho .. Hata kama kuna uchu wa madaraka ndani yake ..lakini amejitahidi kutumia mbinu kushinda maadui zake ..
Leo hii wote wanaomsupport lowassa yaani "friends of e.lowasa" ni kwa ajili ya kijiridhisha na madogo aliyoyafanya.
Kunyamaza kwa lowasa kuna zidi kuwaumiza kichwa wana ccm ..
Wengi tuaasema lowassa anatumia pessa za ufisadi kujisafisha,lakini ni afadhali yeye aliyeona aibu na kidhubuthu kurudisha pessa hiyo kwa njia ya siasa pamoja na kujisafiaha ,kuliko mlio wengi ambao walikula ,wanakula na wataendelea kula peasa na kodi za wananchi maskini na familia zao pasipo hata kurudisha mrejesho wa 10°/ kwa wananchi na mmebaki kua wachafu.
Fisadi Lowassa na Urais kwa tiketi ya CCM. Yaani hadi raha, Fisadi anayetaka kupeperusha bendera ya Chama chake!!
Kweli Fisadi Lowassa ndiye 'dume la mbegu' la wanaCCM wote 2015.