Kwanini ma SUPA STAA wanakufa vifo vya ajabuajabu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini ma SUPA STAA wanakufa vifo vya ajabuajabu?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Apr 9, 2012.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Sio Tanzania bali duniani kote vifo vya mastaa mara nyingi ni vya ghafla sana.
  Complex na Vivian walikufa kwenye ajali,
  James Dandu alikufa kwenye ajali,
  Whitney Houston kifo chake ni utata mtupu hadi sasa,
  JOhn Mjema,
  Michael Jackson,
  2pac & Big...fulll utata
  Kanumba.....utata mtupu,
  Bruce Lee... mizengwe na magirini kibao.
  Je kuna nini nyuma ya mapazia? Au kwa mafanikio yao wamemuona MUNGU kuwa hawashindi kwa lolote wala chochote?
   
 2. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  Fremason.
   
 3. S

  Smarty JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 729
  Likes Received: 149
  Trophy Points: 60
  We are responsible for our fates by the choises we make...ukichagua kubwia unga autmatically utakufa unabwia,. Ukichagua ulabu au uzinzi utafia huko.. Ukichagua jeshi utafia vitani.. Hata nzi hufia kwenye kidonda.. Mbu hufa akifyonza damu..usiwaze sana hayo ndo maisha aliyochagua na ndiko alikofia..
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 301
  Trophy Points: 160
  sababu wanajulikana tunafuatilia sana.

  Ukichukua ratio ya waliokufa kwa maajabu na walokufa kwa kuugua, bado naona walokufa kwa kuugua ni wengi.
   
 5. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  kwa Michael Jackson hata mimi naweza kuleta ushahidi....ni ukweli usiopingika hao jamaa walimuwahi....wengine sina uhakika.....
   
 6. Sirbus

  Sirbus Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Apr 8, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 5
  Jamani mm nashindwa especially kifo cha kanumba....cjui nini niseme guys
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hata mimi nimekuwa nikidhani hivyo....hakuna jingine
   
 8. Mgibeon

  Mgibeon JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Aug 7, 2011
  Messages: 7,441
  Likes Received: 9,088
  Trophy Points: 280
  Haya mambo ya kusema freemasons kuna siku tutasema JF NI YA FREEMASONS
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Dah Huyu wetu ndio naona wazo jamaa wamempa kitu faster lol
  Waliobaki wajipange....hawa Free nanii hawana lolote zaidi ya kuwapoteza kiroho tu utajiri upo tu
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hii ni mitizamo ambayo inatokana na mazingira ya maisha tunayoishi na matukio ya wahusika....lisemwalo lipo
   
 11. r

  rubee2012 New Member

  #11
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Members wote wa jamiiforum ni freemason ndio maana majina yao halis hayatokei.
   
 12. u

  utantambua JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 1,373
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Kweli.
   
 13. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #13
  Apr 12, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,314
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Sina hakika but ni kwa vile taarifa zao zinafuatiliwa zaidi, amini kwamba wako wengi sana wanaokufa katika mazingira ya kutatanisha lakini taarifa zao hatuzipati kwa kuwa hatuwajui, wengi wakufa kwa ajali, wengine wanalala asubuhi wanakutwa marehemu, wengine wanauawa kikatili lakini sababu hazifuatiliwi nk. So tusishangae aina za vifo vya masupasta its just because we are making follow up!
   
 14. S

  SI unit JF-Expert Member

  #14
  Apr 12, 2012
  Joined: Feb 24, 2012
  Messages: 1,938
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Kwani ulikua hujui?
   
 15. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #15
  Apr 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mbona wengi tu wanaokufa namna hiyo ila kwa sababu sio maarufu hawajatangazwa
   
Loading...