Recent content by sir maka

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kama bahati tu, CCM asili inafufuka

    Hii mijitu haifai kabisa na haina nia njema na nchi hii.
  2. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Ngoja niachanane na wewe, akili yako imepotea.
  3. S

    JamiiForums Tanzania Jinsi maisha yalivyo ni zaidi ya tunavofikiri

    Kunyamaza kimya nayo ni hekima.
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

    Kama unataka kafuate hukohuko.
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Saudia yasema "Mwaka huu ni wale Waislamu waliopata chanjo ya COVID-19 pekee ndiyo wataruhusiwa kuhiji Makka/Madina"

    Kama unataka chanjo nenda kachanje, kwani lazima uje utuongeleshe kwenye mitandao?
  6. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

    Mbona povu jingi, we unaonekana ulikuwa mmjawapo mliofanya maamuzi ya kipumbavu kama hamkusoma vile, mwe mnashirikisha wadau badala ya kujiamlia wenyewe.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wangu katika maisha; niliyoyaona katika Mahakama za Mwanzo yanatisha

    Mi nilivyoona hakimu anaonekana kala rushwa tayari, niliandika barua ya kuhamishia kesi mahakama ya wilaya ksb ya kutokuwa na imani na hakimu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Mbona mnaipatia promo sana corona? kama mnaipenda mtaipata tuu.
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ishara 10 za manabii na mitume feki waliotapakaa Tanzania

    Kubali kujirekebisha mtu wa Mungu, kwani unapungukiwa na nini. Achana na ubishi usio wa lazima. Hayo mambo aliyoainisha ni kweli tupu,ndivyo mnavyofanya,je? Kwa utashi wako unadhani mambo hayo yanampendeza Mungu?.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ishara 10 za manabii na mitume feki waliotapakaa Tanzania

    Mleta uzi kagonga mlemle! Mnayo nafasi ya kuachana na hayo mambo yaliyoainishwa na mleta mada, muwe authentic ktk kazi ya Mungu. Kwa sasa primary objective yenu ni kupiga hela si kumtangaza Mungu. Mnachukiwa kuliko vibaka ksb mnatumia neno la Mungu kuhalalisha dili la kupiga pesa kutoka kwa...
  11. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Men Talk: Una handle vipi michepuko yako?

    Yani nyie ndio bure kabisa, mnasema siri mbele ya majeshi pinzani ohooo tutarajie ndoa nyingi kuvunjika.
  12. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeingia kwenye bifu zito na mgoni wangu Boloyank, amekodi watu "wanipige mashine"

    Fuata ushauri wa huyu kamanda.
  13. S

    JamiiForums Tanzania Serikali isiwaache Wananchi katika mataa kwenye suala la Corona

    Hawa mwamini Mungu, watakipata wanachotafuta.
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mahusiano serious(Mume)

    Watu wanaanzaga hivihivi kuwa wachawi.
Back
Top Bottom