#COVID19 Tuache utani, tunataka chanjo ya COVID-19!

Hizo chanjo hazina uhakika wa 100%

Ngoja waendelee na majaribio kwanza!

Mawazo ya kijima kabisa:

IMG_20210218_174254_207.jpg
 
Hii nchi inavichekesho vingi sana. Hivi ni wapi ilisibitishwa kujifukiza ninjia ya kuondoa korona? Utafiti ulifanyika wapi? Hawezekani tunakuja kukataa dawa zilizofanyiwa utafiti na kuonyesha mafanikio kwa ngojera za kujifukiza?
Dawa za korona ambazo zimefanyiwa utafiti na kuthibitishwa na mkemia mkuu wa serikali ni BUPIJI, COVIDOL, PLANET++, FUKIZA UDANOL na nyingine nyingi zote kutoka Tanzania. Wewe unazungumzia dawa gani nyingine ya corona iliyopatikana huko mataifa?
 
Wagonjwa wacorona mliwatoa wapi ili kufanya utafiti wenu kwenye hizo sawa? Kama wapo mliwapima kwa vipimo vipi kusibitisha ikiwa hamna imani na vipimo vya mabeberu? Lete usibisisho izodawa zinatibu corona kweli?
 
Wewe ni mupumbavu sana. Elimu ya mzungu imekufubaza ubongo. Nyie ndiyo watu tegemezi ambao hamtakuja kujitigemea kamwe bila mzungu. Nyie ndiyo virusi katika bala la Afrika.
 
Corona ni ugonjwa wa wazee kwahiyo inabidi tuwaweke lockdown wazee na sie vijana tuendelee na maisha kama kawaida,kwa kufanya hivyo tutaondoa hivi vifo vya wazee na kupunguza wingi wa wagonjwa huko hospitali.

Nasema uongo ndugu zangu?
 
Chanjo gani hii ya haraka haraka?? Ndani ya miezi sita tu umepata chanjo?
Ukimwi mbona wameshindwa? Hii chanjo inayokwenda mpaka DNA siyo yakukurupukia .

Usije shangaa baada ya miaka mingi huko mbele wale walotumia chanjo hii wakaanza kuzalisha magonjwa mbadara ktk nchi zao.

Serikali na wizara nawaunga mkono kwa 100% sikila siku ni sabato.
 
Channjo ya corona umegeuka Vita ya siasa Kati ya chadema na ccm
Chadrma wanataka chanjo
Ccm hawataki chanjo.
Na pia ingeweza kuwa vice versa, ccm/serikali wangesema wanataka chanjo, CDM wangesema hawataki chanjo na ni hatari kwa afya
Nchi ngumu sana hii
 
Back
Top Bottom