Waziri Mkuu, stendi ya Songea inawalipa wengi

Kwa mtu asiyeijua Songea anaweza akashabikia huu mgomo ila kwa tuliopo huku na tunaoelewa dhana ya mipango miji na maendeleo ni ngumu kuwasapoti wafanyabiashara labda uwe na maslahi binafsi.
Songea ni mji ambao umejawa na ujuaji,,fitina na majungu,,mtu akifanya vizuri na kusimamiakanuni na taratibu anaandamwa sana.
Iwe kwenye elimu hivohivo mimi naiomba serikali isimamie maamuzi ,,
Watu wajuaji kama hawa wakafanye biashara kwingine sio lazima walazimishe kuwepo hapo
Mipango miji ipi unayoelewa wewe utopolo
 
Ujuwaji unaosema wewe ni upi?
 
Kunakutanua fursa na kubana fursa,,kimsingi mgomo wa jana umesababishwa kwa kiasi kikubwa na wenye maduka mjini wakiamini biashara zimeshuka kutokana na abiria kutoshushwa stendi ya mjini,,wenye magari waeunga mkono kuupa mgomo nguvu.

Kuhusu maduka yote kufungwa sio kweli,,ila kwa katikati ya mji kulikuwa na maduka machache wazi mfano kwa Abbas na kwa Mohamed na mitaani maduka mengi yalikuwa wazi,
Hoja yao kubwa ni magari kuingia mjini,,binafsi siafiki kwa sababu inapelekea msongamano usio wa lazima na watu wanaongezeka baada ya miaka mitano mbele wanaopinga wataelewa.
Mkuu ukipewa mamlaka si unaweza kupunguza msongamano Kariakoo?
 
Kwa mtu asiyeijua Songea anaweza akashabikia huu mgomo ila kwa tuliopo huku na tunaoelewa dhana ya mipango miji na maendeleo ni ngumu kuwasapoti wafanyabiashara labda uwe na maslahi binafsi.
Songea ni mji ambao umejawa na ujuaji,,fitina na majungu,,mtu akifanya vizuri na kusimamiakanuni na taratibu anaandamwa sana.
Iwe kwenye elimu hivohivo mimi naiomba serikali isimamie maamuzi ,,
Watu wajuaji kama hawa wakafanye biashara kwingine sio lazima walazimishe kuwepo hapo
Inakuingia akili wewe unasafiri unaenda shule ya tanga gari unayosafiri nayo inaanza safari songea mjini isikupakie? Au unamaslahi na huu uhuni? Abiria anatoka mbinga ashushwe ruhuwiko mwisho.gari inafika mwembe chai inapitia matarawe marufuku kupitia mjini hii haki? Abood bus pale MORO anaofisi zake kule mjini, anashushia abiria vizuri tu kwa nini songea superfeo au tavavili wasiruhusiwe kushusha abiria kwenye ofisi zao? Mji gani unaopangwa huku wakazi wake wanateseka?
 
Mkuu wa mkoa kaombwa na wafanya biashara wakae wajadili changamoto wanazokumbana nazo baada ya kuhamishia hiyo stendi huko shule ya tanga Kagoma kukutana nao
Kama anagoma kukutana na wananchi sasa yupo kwa ajili ya nani au anasubiri kukutana na JPM
 
Kama shule ya Tanga ni mbali, fikiria Dar, kwa mtu anayekaa Mbagala na stendi ipo Mbezi mnasemaje hapo?
Ulinganifu wako ..unakosa akili. Katikati kwa Dar ni wapi ss.. ukiangalia geografia ya mji, na miundombinu. Halafu unataka kulinganisha Jiji la watu milioni Saba kasoro na mji wa watu laki mbili na nusu?!
 
Kama anagoma kukutana na wananchi sasa yupo kwa ajili ya nani au anasubiri kukutana na JPM
Huu mkoa akipewa kuongoza mwanamke kunakuwa na matatizo sana, Monika mbega,Anna makinda.
 
Ulikua na ujumbe muzuri kulinga na usumbufu unao jitokeza kwa abilia na wafanya biadhara,lakini umeniuudhi kudanganya klmt 20 kwa wasio pajua watapata picha gani,upo kupotosha jamii natamani kukutukana mungu anisamehe tu,au kwa akiri yako unazani hapa jf niwewe tu unaepajua hapo songea,kama umeamua kutoa taarifa zingatia ukweri wa jambo, kutoka songea mjini kwenda shule ya tanga ilipo hiyo stend ni klmt 20.
Mbona povu jingi, we unaonekana ulikuwa mmjawapo mliofanya maamuzi ya kipumbavu kama hamkusoma vile, mwe mnashirikisha wadau badala ya kujiamlia wenyewe.
 
Kunakutanua fursa na kubana fursa,,kimsingi mgomo wa jana umesababishwa kwa kiasi kikubwa na wenye maduka mjini wakiamini biashara zimeshuka kutokana na abiria kutoshushwa stendi ya mjini,,wenye magari waeunga mkono kuupa mgomo nguvu.

Kuhusu maduka yote kufungwa sio kweli,,ila kwa katikati ya mji kulikuwa na maduka machache wazi mfano kwa Abbas na kwa Mohamed na mitaani maduka mengi yalikuwa wazi,
Hoja yao kubwa ni magari kuingia mjini,,binafsi siafiki kwa sababu inapelekea msongamano usio wa lazima na watu wanaongezeka baada ya miaka mitano mbele wanaopinga wataelewa.
Wewe ni kiazi,kwa msongamano gani katikati ya mji?
 
Inakuingia akili wewe unasafiri unaenda shule ya tanga gari unayosafiri nayo inaanza safari songea mjini isikupakie? Au unamaslahi na huu uhuni? Abiria anatoka mbinga ashushwe ruhuwiko mwisho.gari inafika mwembe chai inapitia matarawe marufuku kupitia mjini hii haki? Abood bus pale MORO anaofisi zake kule mjini, anashushia abiria vizuri tu kwa nini songea superfeo au tavavili wasiruhusiwe kushusha abiria kwenye ofisi zao? Mji gani unaopangwa huku wakazi wake wanateseka?
Ikiwa hivo basi hakuna maana ya kuwa na stendi,,gari zinaanza safari stendi kuu sio mjini,,Kwani Iringa gari zinaanzia na kuishia wapi? msipende uholelaholela
 
Wewe ni kiazi,kwa msongamano gani katikati ya mji?
Nashukuru,,wewe unaangali leo ,,watu wa mipango miji wanaelewa wanacgofanya,,ndio maana hata daladala mnataka kila ashushiwe kwake ,,,
 
Huyo ni bodaboda mnufaika wa hizo elfu 5-10
Huenda mimi sijui hiyo mipango miji nenda Manispaa wakakuelekeze,,sijawahi kuwa bodaboda na sifikirii kuwa bodabida ,,jana nilikuwa stendi ya mfaranyaki nikisikiliza maoni ya watu nimejifunza mengi sana kwa wanasongea,,huenda exposure kwa wengi ni ndogo sana
 
Hebu nendeni hata Nzega mji mdogo sana lakini wamehamisha stendi tena walikohamishia hakuna miundombinu rafiki na bado wamefanikiwa,,maana nikisema Iringa ama Njombe mtasema miji mikubwa,,maendeleo ni gharama,,ukihisi shughuli unayoifanya haikulipi kwa sababu ya kutoshushwa abiria mjini badili au nenda unakohisi kunalipwa ,,hakuna mtu kafungwa wote tupo huru.
 
Back
Top Bottom