Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,034
- 4,269
Na anabembeleza penzi kwa mchizi ile mbaya .. na mchizi hamuelewi Wala Nini
Maisha haya Ni Homa kamili






Na anabembeleza penzi kwa mchizi ile mbaya .. na mchizi hamuelewi Wala Nini
Maisha haya Ni Homa kamili






1. Hujui kama wife yupo humu au lah!!
2. Anaijua ID yako moja!!
3. Una IDs 10+ hapa JF!
Kama hujui kama yupo humu ni yupi huyo unayemstalk kimya kimya kwa ID ya 10?
Ujinga raha sana.![]()
Hahahahaha..
Unahifadhi namba mahali, sio ku-save kwa phonebook


Kweli mwanaume umetulia ila mwenzako akipungukiwa 5000 anakigawa free kabisa. Wanawake wanalika sana sababu ya kupenda wepesi wa maisha.Mambo yako hivyo pande zote 2 ... Kuna wanaume pia Wana sumbuliwa na wanawake kila kukicha ... Ila nikwakuwa wanaume hatunaga desturi ya kuongea mambo yetu hadharani kwa kuwa huwa tunatafasiri kwamba tutaonekana wadhaifu so hiyo Hali inapelekea jamii kutotambua ukubwa wa changamoto zinazo tuzunguka ktk mahusiano
Sio machale siku yako inakujamchepuko ulijiongeza kukuokoa, hata hivyo mkeo sio mfuatiliaji sana. Mi wife hata angejibiwa hivyo angefuatilia kimya kimya kwa mda wake aje anishike red-handed sema nna machale sio ya nchi hii mara nyingi nakuaga mbele ya muda
Usifikiri sijui michezo yako naijua Sana ni suala la mudaNi noma mkuu, sema sijawahi kumpa sababu za kuanza kunifuatilia. Na pia niko selective sana, game nacheza na ma pro tu
Tabu yote ya nini?? Siku moja utakamatwa tuNaona wachangiaji wengi humu bado ni amateurs kwenye kuchepuka, Mi ni pro kwenye michepuko, nina michepuko kama 6 hivi na yote nawasiliana nayo kwa kutumia Whatsapp any time I want, even if I'm at home. Ni hivi: Kwenye simu yangu nina whatsapp 2, moja ni kwa ajili ya watu wangu na nyingine ni kwa ajili ya michepuko. Hii whatsapp ya michepuko nimeificha na kama itaingia msg yoyote basi itaonesha icon tu kwenye notification bar.
Huyu kukatwa nyeti na kisu kunamuhusuNa wewe ukaamini kabisa kuwa mkeo amekuelewa na kuamini huo uongo wako? Unaijua akili ya mwanamke vizuri wewe? Dawa yako ipo jikoni

Huyu kukatwa nyeti na kisu kunamuhusu![]()
Kwa iyo ukigundua na we utang'atwaKabisa kwa hali hii mimi ni mkristo naunga mkono hoja kuliko kujifanya ww ni mkristo safi kumbe unafanya dhambi ya uzinzi nje. Mtu anajisifia eti ana michepuko 6. Yani navyojiheshimu hivi nakataa vishawishi kwa wanaume namtunzia mume wangu na afya yangu leo nimkute live au msg inayoonyesha wamefanya hiko kitendo kweli he will pay the price.
Juzi kati kuna malaya mmoja town nimemla akaanza kuleta mazoea ya texts na simu nikamuita tuonane sehem kweli akaja akakuta nakula vyombo nae akaagiza alichoshangaa sikua na mchangamkia kama kawaida, nikamwambia nilishakuonya usinipigie simu wala sms ila naona hatuelewani, sasa kwakua umeshindwa kufuata conditions naomba mambo yaishie hapa, lets forget kama tumewahi kugongana tubakie kuwa marafiki kama ilivyokua awali, demu kashtuka kajifanya kupanick ila nikamwambia thats it.No phone calls, no sms, no WhatsApp we are just twitting our DMs
Kuna baadhi ya wanaume..hauamini Kuchepuka ni Haki yao ya msingi..
W
Nikweli but... wengine wanashangaa Wewe kushangaa wao kuwa na Wanawake nje ya ndoa zao...Sio haki na sio jambo jema.
Wengine hatuwezi kabisaa, yaani siku nikiwa na mchepuko najulikana siku hiyo hiyo. Nimeshashidwa kuhandle mahusiano mawili kwa wakati mmoja. Labda ni breakup alafu nianze mengine mapya ila vichochoro vimenishinda.Kwanza Salam kwenu wakuu
Ninapenda kuwafahamisha wanawake/wake zetu kuwa hakuna kazi ngumu kama kuhandle michepuko isiingiliane na shughuli za kila siku ndani ya ndoa /nyumba.
Kuna michepuko ambayo unakuta inatambua kuwa umeoa inakuwa inakutafuta siku ya dudu jeupe tuu, mingine siku ikitaka pesa.
Mingine inaelewa kuwa umeoa na inaheshimu ndoa, inasubiri mpaka uitafute wewe ndo muwe mnafanya mawasiliano.
Sasa kuna kichwa maji, bogus, Fakeni na Tablalasa; hiyo haielewi kila muda ni calls, SMS na faken shits nyingine. Kwa kiasi inakera na mara nyingi unakuta ni mafresheshers kwenye suala la kupeana utamu.
Sasa mwenzenu yamenikuta. Kuna pisi moja first year uni moja, Pisi Kali matata nikaamua kuifanyia kazi kiuzoefu nikijua ni Pro kumbe ni amateur. Nikaanza na Mikiki ya kuipagawisha kunako bed ili ilainike niikule vilivyo next time nipate Tunda isinione Fala.
Nikatumia ujuzi wangu wote kumbe Fresher. Kapagawa sasa kila siku anapiga simu na SMS za kuzidi.
Sasa imefikia hadi job anakuja. Wifey nahisi kashtukia mchezo ila kakaa kimya.
NATAFUTA HANDLER WA HUYU MCHEPUKO.