Nimeingia kwenye bifu zito na mgoni wangu Boloyank, amekodi watu "wanipige mashine"

Juzi niliwajulisha mgogoro niliokua nao na mke wangu hasa baada ya kufuma sms kwenye simu yake ikitoka kwa mwanaume aitwaye Boni Manyanki (ye wife kamsevu Boloyank). Sms ile ilikua na maudhui ya kimapenzi ambapo huyo Boloyank anamtia shime wife kwamba avumilie umbile la Boloyank tu kwakua "...taratibu tu ataizoea". Nimeshindwa kiufundi kuleta uzi ule hapa.

Sasa wife hajarudi nyumbani hadi leo, takribani siku ya 3 sasa, kwao hayupo na wamesema hawajui alipo. Lakini mfanyakazi mwenzake amenitonya kwamba wife kazini anahudhuria kama kawaida. Binafsi sijampigia Boloyank wala wife sijamtafta tena tangu aondoke home kwenda kazini jana.

Kuanzia hiyo jana na leo nimepigiwa simu na kutumiwa sms na mwanaume anayejitambulisha kuwa yeye ni rafiki yake tu na mke wangu, jina lake "Boni". Ananilaumu kwanini namnyanyasa mke wangu, na ananitaka tuonane ili tuyajenge. Nimemkatalia na kumtishia kwamba nitapambana nae kama ananifuatafuata.

Jana jioni alipiga simu na kunishushia matusi ya nguoni, na kuniambia kwamba mimi ni mwanaume nisiyejiamini. Nilipomtahadharisha kwamba aachane na mimi kwakua simfahamu na akiendelea kunitafuta "nitadeal nae" yeye akanijibu kwamba mie kama napanga kudeal nae basi yeye tayari ameshakodi njemba ili "zinipige mashine". Na baadae akatuma sms hii:
ecab6223302aaec298ca5dcfc2638877.jpg

Kila wakati Boloyank anaponipigia hua anatumia namba mpya na mara nyingi hua namsikia mwanamke akiongea kwa sauti kama ya mke wangu anamjaza maneno ili anikashifu. Kwamfano, leo nilipigiwa tena na huyuhuyu Boloyank halafu niliskia mwanamke ananong'ona kwa pembeni "...mwambie na issue ya kukunyonya"

Sasa hata sielewi huyu jamaa anajiamini nini na mashine anayozungumzia hapo ni ipi.

Binafsi nimekosea wapi na je nichukue hatua zipi?
KIMBILIA KWA MGANGA MDAU ILI WAKIKUFUATA WOTE MBOO ZILALE
 
Subirini nitaleta mrejesho tu, ila inshort nilikodi bajaj nikakabwa na kuchomwa kisu mwaka 2018. polisi walipochunguza ikaonekana ilikua njama ya Boloyank. Jamaa alifungwa miaka 7, wife tulisameheana japo baadae tuliachana hata hivo. Ila haya mambo yaliishia kanisani sikupenda tena kuleta huku. hata hivyo baada ya kurudiana na mke wangu mapenzi yalishindikana mwaka 2018 Novemba
 
Peleka hizo sms polis umfungulie jalada la kesi ya kutishiwa
 
Subirini nitaleta mrejesho tu, ila inshort nilikodi bajaj nikakabwa na kuchomwa kisu mwaka 2018. polisi walipochunguza ikaonekana ilikua njama ya Boloyank. Jamaa alifungwa miaka 7, wife tulisameheana japo baadae tuliachana hata hivo. Ila haya mambo yaliishia kanisani sikupenda tena kuleta huku. hata hivyo baada ya kurudiana na mke wangu mapenzi yalishindikana mwaka 2018 Novemba
Aisee pole sana.
Mkeo na Boloyank washukuru Mungu bado wanapumua.
Binafsi sidhani kama ningeridhika kuona bado wana uhai hao wawili.
 
Ndugu yangu hapa kuwa na busara, achana na huyo mwanamke, achana na huyo mwanamme, ukiweza badili namba kabisa. Jamaa keshamchoka na sio siku nyingi huyo mwanamke atamtelekeza barabarani, usikubali kulumbana nao! Hakuna kitu anachoweza kukufanya hata kidogo!

Kuna watu wamefungwa ndugu yangu maisha kwa haya ma ugomvi ya wanawake, kama ameenda kukaa kwa huyo mwanamme wewe unataka nini tena? wanawake wamejaa wengi sana hii dunia, achana naye kabisa kabisa! USILUMBANE!
Fuata ushauri wa huyu kamanda.
 
Subirini nitaleta mrejesho tu, ila inshort nilikodi bajaj nikakabwa na kuchomwa kisu mwaka 2018. polisi walipochunguza ikaonekana ilikua njama ya Boloyank. Jamaa alifungwa miaka 7, wife tulisameheana japo baadae tuliachana hata hivo. Ila haya mambo yaliishia kanisani sikupenda tena kuleta huku. hata hivyo baada ya kurudiana na mke wangu mapenzi yalishindikana mwaka 2018 Novemba

Pole sana kamanda
 
Pole sana Mkuu. Kweli tupe mrejesho tujifunze. Pole kwa yaliyokusibu. Mungu atakupa mke bora sana. You are a Hero.
 
Back
Top Bottom