Kama ulibahatika kushika mashine ya kuandaa vitambulisho vya mpiga kura basi haya majina uliyakuta,Nilijaribu kusearch kila kiungo cha mwili nikakuta ni majina ya watu,tunayoyaita matusi ni majina ya watu pia,viungo vya uzazi navyo watu wanatumia kama majina...
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122]
Kuna kitu hapo umekisema kinatutesa wengi sana,hicho cha kuweka limzigo rohoni unakua huna hata uwezo wa kumueleza mtu ndo chanzo kikuu cha tatizo hili maana wengi wanakua na Kitu kinawala ndani kwa ndani.
Na...
Stress mara nyingi huleta hili tatizo yawezekana hata mtoa mada kuna kitu kilimkuta cha kumfanya awe na mawazo kila mara na kwa muda mrefu,na ukikaa vibaya unaweza waza hata kujitoa roho tu unajihisi kama dunia imekuangukia na hauna maana tena.
Comment ya 101.
Kuhusu nyeto mi naona ni kila mtu na akili yake na ubongo wake kuna watu wanapiga sana na show zao ni hatari( Acha ujinga usiniulize nimejuaje) Na wanadai bila nyeto haoni raha ya tendo tuko radhi aanzie nyeto ndo aende kupeleka moto na anapeleka haswa miaka nenda rudi no...
Dogo hapo hakuna Gono wala semen,hii huwatokea wengi sana hasa pale unapokua umesimamisha kwa muda mrefu na ukawa na hisia kali ila ukawa hutaki kupiga bao ama nyeto.Na ulivyosema kua umeacha nyeto naamini unaangalia porn na kutaka kujizuia kumwaga hivyo unaweza fikia hatua kabisa ukasikia bao...
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] Ni sawa na wewe tu haoa ulivyotupia huu mkeka usiohusika kwenye uzi wa watu,nawe ni mbongo kabisaaa.
Ila umesahau wale wa matangazo kwemye post.[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hhaaaaa Hatimae comment yako imepata like after 3hrs...Lugha hii ilotumika ni adhim mno[emoji26][emoji22][emoji54][emoji26][emoji22],but alichokiandika ni kweli kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaona hata mmoja aliyetoa ushahidi wa wizi wa shigongo katika hadithi zake,kama kweli ameiba leteni ushahidi wa huko alikoiba.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa,tena pangekua na kozi za Mambo ya ufundi kama yatolewayo na VETA hata miezi sita tu na hiyo iwe ni katika mfumo wa elimu ya O'level.Ukitoka hapo ndo uchague pa kwenda.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.