Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Kutokwa na sperm uume ukiwa haujasimama

Kama Ni ugonjwa Bora tuugue Tu utuue maana kaheshima kanapanda.

Dah sio Siri sitasahau Enzi zile Za kuhangaika kunywa tangawizi+vitunguu+karanga+pilipili halafu ukifika tako1 Chali...unaanza kutafuta sababu "ooh Leo naumwa au unampa Hela kucover uzembe wako"
Saivi atakama sienjoy mapenz lakini nikisimamia shoo anatangazia mashoga wake wananiletea nawakamua Bure kabsa nao wanaenda kusimulia and the circle continues
Kwahiyo vitu hivyo ulivyo kula ndivyo vilivyo kusaidia au?
 
Nyie hamjamuelewa mtoa mada sababu kati yenu hamna aliyewahi kupata madhara ya nyeto

Huyo kaacha nyeto halafu hafanyi mapenzi kwahiyo sperm zimejaa sana zinaanza kutoka zenyewe kdg kdg akikojoa,akipata haja kubwa au akipata hisia za kimapenzi,ndotoni...

Dawa yake kwanza ni kuacha kuwaza ngono kabisa kwa mda km wa miezi 3 yaani uume wako kaZi yake inakuwa ni kukojoa tu uache usinyae kbs..

Tatizo lako limeanzia kwenye uoga kama ilivyo wapiga nyeto wengi performance anxiety.Tiba yake sasa ni kupata demu anayekupenda ambaye yupo Too available for sex halafu akija geto hakikisha iwe asubuh km saa 4 hivi piga nae story,cheza nae miziki,mshiko mkono,muangalie machoni kifupi mzoeeee tu tena sana ila ikifika kumi hivi ndo uanZe kupiga show na usiwaze kumridhisha mtu wala bao litatoka saa ngapi just enjoy tu likija haya lisipokuja haya.Fanya hivyo mfululizo kwa week aje ghetto hata mara 5 hadi 6 hivi ndani ya mwezi.Utaona mabadiliko

Uoga ukitoka tatizo lako linaisha kwa 50% hizo 50% kula vzr fanya mazoezi usiwaze udhaifu wako.

Uoga ukipungua cha kufanya kila siku ya game hakikisha unafanya jogging au kuruka kamba dk 30 hivi yaani akija ghetto akukute una uchovu wa mazoezi utashangaa bao linachelewa...

Achana na kuangalia story Za kukutia uoga,Sex ni kitu halisi tu ACHA kuwaza kufanya mapenzi,wewe uwe unafanya mapenzi.

Anza kuwazoea wanawake washike mikono,wakumbatie wadada.Embrace feminine energy,dont resist.

Mwanamke ndo atakayekuponya dogo ila lazima awe anakupenda sana kiasi kwamba haoni madhaifu yako halafu awe anapatikana mda wote,
Ukweli mkuu me tatizo ni uoga tu, na sijawahi kuwazoea wasichana na kwenye game kuna mda woga ukinizidi ni kamoja chali ila kuna time akinishitukiza kuja getto bila taarifa napeleka moto kama masaa 4 bila kupumzika zaidi tu ni kubadiri style, so me mwanzoni nilihisi nina tatizo but now naona tatizo lipo kwenye woga tu
 
Sasa ili uoga ukutoke zoea wanawake na demu akija ghetto sex iwe ni kitu cha mwisho kabisa yaani fanya nae mambo mengine kabisa ila kwenye kuzoea wanawake na kupunguza performance challenge hakikisha unajenga tabia ya kuwaangalia wanawake usoni itakusaidia sana sana sana.
 
Nimekuelewa mkuu but hofu hutangulia before ya yote hapo ndipo huwa nashindwa, nishagoogle mbinu za kuondoa hofu lakini hazijanisaidia
 
Nyie hamjamuelewa mtoa mada sababu kati yenu hamna aliyewahi kupata madhara ya nyeto

Huyo kaacha nyeto halafu hafanyi mapenzi kwahiyo sperm zimejaa sana zinaanza kutoka zenyewe kdg kdg akikojoa,akipata haja kubwa au akipata hisia za kimapenzi,ndotoni...

Dawa yake kwanza ni kuacha kuwaza ngono kabisa kwa mda km wa miezi 3 yaani uume wako kaZi yake inakuwa ni kukojoa tu uache usinyae kbs..

Tatizo lako limeanzia kwenye uoga kama ilivyo wapiga nyeto wengi performance anxiety.Tiba yake sasa ni kupata demu anayekupenda ambaye yupo Too available for sex halafu akija geto hakikisha iwe asubuh km saa 4 hivi piga nae story,cheza nae miziki,mshiko mkono,muangalie machoni kifupi mzoeeee tu tena sana ila ikifika kumi hivi ndo uanZe kupiga show na usiwaze kumridhisha mtu wala bao litatoka saa ngapi just enjoy tu likija haya lisipokuja haya.Fanya hivyo mfululizo kwa week aje ghetto hata mara 5 hadi 6 hivi ndani ya mwezi.Utaona mabadiliko

Uoga ukitoka tatizo lako linaisha kwa 50% hizo 50% kula vzr fanya mazoezi usiwaze udhaifu wako.

Uoga ukipungua cha kufanya kila siku ya game hakikisha unafanya jogging au kuruka kamba dk 30 hivi yaani akija ghetto akukute una uchovu wa mazoezi utashangaa bao linachelewa...

Achana na kuangalia story Za kukutia uoga,Sex ni kitu halisi tu ACHA kuwaza kufanya mapenzi,wewe uwe unafanya mapenzi.

Anza kuwazoea wanawake washike mikono,wakumbatie wadada.Embrace feminine energy,dont resist.

Mwanamke ndo atakayekuponya dogo ila lazima awe anakupenda sana kiasi kwamba haoni madhaifu yako halafu awe anapatikana mda wote,
Ume eleza sitaiki mpka nme farijika
 
Lakini bosi kuna hii issue ya korodani kuuma sometime uume uki simama kwa muda ata wa dakika moja ukiwa strong
 
Jaribu kurud tena hospital.
[emoji117]Hii issue ni very serious na complicated pia.

Umesema hujawahi kufanya mapenzi hivyo huwez kuwa na gono.
Chlamydia au Gono... Unaweza kuwa na kimoja hapa.
MUONE DAKTARI
 
Ahsante kaka
 
Nilienda bugando waka dai kuna mirija kwenye korodani ime jaa na mbegu sio nzuri waka nipa dawa nimetumia mapaka zimeisha lakini bado kurdish wali nandikia tarehe 6/9/mwaka huu
 
Lakini bosi kuna hii issue ya korodani kuuma sometime uume uki simama kwa muda ata wa dakika moja ukiwa strong

Hiyo ni blue balls
Inawatokea wanaume wote ambao hawajafanya mapenzi mda mrefu hlf wanaangalia vitu vya kuhamasisha ngono wakati uhakika wa kufanya haupo,sio peke yako mzee.Usiwaze ngono wala kuangalia picha ya porno

Hiyo ni ishara kwamba mwili wako bado una uweZo mkubwa wa kuzalisha shahawa.

Dawa yake ni kupunguza shahawa.Pata mrembo ujipooze litaisha tu.
 
Sawa kaka una ushauri mzuri san niwekee ata namba yako ya whatapps in box mm nta kucheq
 
Nilienda bugando waka dai kuna mirija kwenye korodani ime jaa na mbegu sio nzuri waka nipa dawa nimetumia mapaka zimeisha lakini bado kurdish wali nandikia tarehe 6/9/mwaka huu
Uvutaji wa sigara tuweke pemben. Unatumia vilevi(alcohol)?
 
Hiyo ni blue balls
Inawatokea wanaume wote ambao hawajafanya mapenzi mda mrefu hlf wanaangalia vitu vya kuhamasisha ngono wakati uhakika wa kufanya haupo,sio peke yako mzee.Usiwaze ngono wala kuangalia picha ya porno

Hiyo ni ishara kwamba mwili wako bado una uweZo mkubwa wa kuzalisha shahawa.

Dawa yake ni kupunguza shahawa.Pata mrembo ujipooze litaisha tu.
Safi. Kwa kuongezea hapo

Inabid aache kujisisimua (kwa porn au chochote)
Aache punyeto
Kama ni mnywaji aache na uvutaji pia
Aboreshe mlo anaokula (chakula, matunda na maji)

Maan had hapo dawa zimeshindwa kutibu
Sio kila ugonjwa unahitaj dawa za hospital.
Pia sio kila stage ya ugonjwa inahitaj dawa. Mengine ni kubadilisha mtindo wa maisha tu.

Kwenye kupunguza shahawa. Sio kwa kusex au kujichua tu. Pia mwili wenyewe unaweza kuzipunguza automatic.

NI USHAURI TU. Unaweza kuuchukua au ukauacha
 
Mimi niliacha punyeto.

Na Sasa Sina demu.

Kila baada ya week mbili shahawa hutoka zenyew usingizini.naamka asubuhi nimechafuka
 
Dogo hapo hakuna Gono wala semen,hii huwatokea wengi sana hasa pale unapokua umesimamisha kwa muda mrefu na ukawa na hisia kali ila ukawa hutaki kupiga bao ama nyeto.Na ulivyosema kua umeacha nyeto naamini unaangalia porn na kutaka kujizuia kumwaga hivyo unaweza fikia hatua kabisa ukasikia bao ila ukajifanya kama vile sio wewe ukarudisha Mguu wa tatu wako ndani ya boxer na kuendelea na shughuli nyingine.
Hivyo baada ya hapo lazima Abdala na mayai yake yaume tu na mwishowe ndo bao linatoka kama mkojo wa mwisho na mara nyingi ukikamuua ndo yanatoka rundo.
My take kama huna mpango wa kuachia vitengeneza watoto Dogo acha kuangalia porn au angalia kidogo tu.
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unaweza sema umeingia bleed[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Comment ya 101.

Kuhusu nyeto mi naona ni kila mtu na akili yake na ubongo wake kuna watu wanapiga sana na show zao ni hatari( Acha ujinga usiniulize nimejuaje) Na wanadai bila nyeto haoni raha ya tendo tuko radhi aanzie nyeto ndo aende kupeleka moto na anapeleka haswa miaka nenda rudi no madhara.
Ila wengine ndo kama hivyo wanaaibika sana maana akili inaharibiwa plus uoga wa kuwa kumaliza hivyo wanajikuta waoga kila siku.
Kama nyeto inakudhuru acha kabisa usiendekeze,asikudanganye mtu kuna vitu tunakula vinaongeza Shahawa tu na si uwezo wa tendo.
Zingatia ushauri wa wengi acha nyeto,acha porn, lala vizuri,fanya mazoezi,Kula matunda,piga maji mengi,kula msosi ushibe,punguza mawazo Tafuta Dem mmoja unaemmudu mzoee na umle mara kwa mara muda tu utakua konk na hata ukochepuka utapiga show kambambe.
 
Back
Top Bottom