Recent content by Simple on looking

  1. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Six ways men can escape poverty

    hahahahahaaah this truly touched my future
  2. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania nitajuaje kama nafadhiliwa na serikali?

    hajui mkuu
  3. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania nitajuaje kama nafadhiliwa na serikali?

    habari wakuu?. kuna ndugu yangu amechaguliwa moja kwa moja kutoka kidato cha nne kujiunga na masomo ya ngazi ya diploma katika chuo cha TUMBI Tabora. katika ulipaji wa ada kuna wale wa goverment na private sponsored wanalipa tofauti. je nitajuaje kama analipiwa na serikali?. naomba mwenye...
  4. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Biashara na malipo ya kodi (TRA)

    Shukrani sana mkuu kwa ufafanuzi
  5. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Natafuta mtu wa kuingia naye ubia wa biashara

    Mdhamini wa nini,,, sijakuelewa. Unahitaji mtaji? Au unahitaji mwekezaji kwny biashara yko.
  6. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Biashara na malipo ya kodi (TRA)

    Habari zenu Wakuu nataka kuanzisha biashara ila sina elimu yoyote kuhusiana na namna ya ulipaji wa kodi ya mapato. Kwa wenye uelewa naomba kuelimishwa kuhusiana na ulipaji wa kodi ya mapato. Miongoni mwa maswali ninayo jiuliza ni:- 1. Ni biashara gani inayokupasa upate leseni ya biashara na...
  7. Simple on looking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu ndo mwanaume naemtaka

    Miaka minne unalia tu, una machoziiiiii eeeeh
  8. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Uzi wa watafutaji

    Anza ww
  9. Simple on looking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa wale wanaosumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume

    Unahisi km sio ivi
  10. Simple on looking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania All about love

    Poleee
  11. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Nani Mkali wa freestyle kwa TANZANIA.? Kuna wa kumzidi CHIDI BENZI.?

    Kuna watu wanachana jmn, watu kma akina Maarifa.
  12. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania Sakata la Mbagala Litasaidia Kuonesha Tofauti ya Msingi wa Imani ya Ukristo na Uislam

    Wote apo Mashabiki tu wanaojua Dini bado hawajaja.
  13. Simple on looking

    JamiiForums Tanzania PC YANGU HAIWAKI GHAFLA, Ni nini tatzo?.

    Habari za mda huu wakuu. Nina PC aina ya Mecer, ilikua nzima kabisa lakini kwa sasa haiwaki. Nmepeleka kwa mafundi wakanambia maybe INVIDIA ina tatizo lakini hawakufanikiwa kuitengeneza. Je tatzo litakua nini wakuu ?
  14. Simple on looking

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ilikuwaje baada ya family yako kukataa uhusiano uliokuwa nao?

    Daaah pole ulikosa utam
Back
Top Bottom