Nani Mkali wa freestyle kwa TANZANIA.? Kuna wa kumzidi CHIDI BENZI.?

Complex

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
4,113
4,741
Mimi CHIDI BENZ hana mpinzani. Wewe mkali wako ni yupi.?

kama wewe ni mpenzi wa hiphop, cheki hii video ambayo chidi benz alikuwa hosted katika kipindi cha dakika 10 za maangamizi mwaka huu 2017. Jamaa ndani ya hizo dakika 10 alizopewa hakuachia mic wala kuweka pause, Yaani ilikuwa ni press play. Na alionesha kuwa ana uwezo wa kuendelea mpaka alinyang'anywa mich. Na hapa ninavyoona ni kwamba uwezo wake umepungua, Chidi aliyeimba humu si yule chidi nimjuaye katika tasnia ya freestyle.


 
Chuma yupo central polisii dodoma toka juzi kashikwa na ngadaa,kaishaaa anatia hurumaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom