nitajuaje kama nafadhiliwa na serikali?

Simple on looking

Senior Member
May 27, 2014
100
34
habari wakuu?. kuna ndugu yangu amechaguliwa moja kwa moja kutoka kidato cha nne kujiunga na masomo ya ngazi ya diploma katika chuo cha TUMBI Tabora. katika ulipaji wa ada kuna wale wa goverment na private sponsored wanalipa tofauti.
je nitajuaje kama analipiwa na serikali?. naomba mwenye ufahamu anisaidie apo tafadhali.

shukrani
 
habari wakuu?. kuna ndugu yangu amechaguliwa moja kwa moja kujiunga na masomo ya ngazi ya diploma katika chuo cha TUMBI Tabora. katika ulipaji wa ada kuna wale wa goverment na private sponsored wanalipa tofauti.
je nitajuaje kama analipiwa na serikali?. naomba mwenye ufahamu anisaidie apo tafadhali.

shukrani
Yeye kwani hajui kama amepata mkopo au lah?
 
Back
Top Bottom