Huyu ndo mwanaume naemtaka

Huyu ndo mwanaume naemtaka

Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.

Ni kweli wanaume wa Dar hawawezi kazi, wao kila wakihamka ni kusikiliza bongo fleva na kupiga majungu tu vijiweni. Ila ungeweka picha yako kidogo tukujadili sie watazamaji.
 
Nilitaka nije PM ila nilivyoona wewe ni single mother nimeairisha... samahani lakini
 
pole kwa kuvumilia... ila kwa karne hii mwanaume asie na michepuko yupo?
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Sifa zote nakaribia kuwa nazo,kasoro hiyo ya asiwe mnywa pombe,pombe napenda kwani ndio hunipa liwazo.Ila una ujasiri yaani unampangia mwanaume awe na kampani ipi ya marafiki,yaani unataka mtu wa kumcontrol!!
 
Mwaga sera mkuu wangu
Madam mimi ni mfanyabiashara, nina nyumba ya urithi na shamba la urithi pia.

Tatizo umri wangu ndio unagotea 25 siku sio nyingi zijazo. Vipi huwezi kulegeza masharti ili na mimi nikidhi vigezo?

NB: Mtoto sijawahi hata kusingiziwa.
 
Kukwama kubaya sana, mpaka mtu anakuja mtamdaoni, means hakua hata na bwana before?? Hapa ndio pale unakutana na mtu afu unaona bora uendelee kuwa member mtiifu wa CHAPUTA.
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Mawazo yako yaheshimiwe; nikutakie kila la kheri kwenye chaguzi. Watakuja wengi, waliovuka vigezo, waliokidhi kwa usawa unaouhitaji pamoja na wanaokaribia ku-meet vigezo vyako.
Kama ni kukushauri basi Uchague miongoni mwao wanaokaribia ku-meet vigezo ulivyotoa.

Amen
 
Napenda sana awe mfanyabiashara either ameajiriwa na anayo biashara japo mimi ni muajiriwa kwani matajiri wote ni wafanyabiashara, hakuna mtu anaefanikiwa hasa kwa mshahara tu.
(Kama hana naweza mfikiria)
Elimu kuanzia angalau form four si mbaya ili tuende sawa mana mimi nina bachelor

Ukiwa na gari/kiwanja/nyumba si mbaya na kama hauna pia haina shida >mimi nina nyumba moja.

Umri 28-35 tutamatch vizuri tu mana mimi nina 27

Akiwa na mtoto siwezi kukasirika sana mana na mimi ninaye ila babake mtoto wangu kaona michepuko ina thamani kwake kuliko mke so nimemwacha aendelee nao, kuliko kuendelea kulia kila siku, nimelia miaka minne non stop so nimeamua kumtua.

Anayejiheshimu na kumpenda Mungu mana hata mimi najiheshimu sijawahi kufanya ujinga , kosa ambalo pekee nililowahi kufanya ni la kumpenda mtu asiye sahihi kwenye maisha yangu.

Jamani awe mchapakazi yani jembe la kazi uwiii hapa naomba niandike nimesimama, jamani mimi ni mchapakazi, kazi nazofanya kuna wanaume hasa wa mkoa flani hawawezi, kiukweli mimi ni mchapakazi, kazini nimewahi kupewa zawadi mara mbili, yani napenda kufanya kazi ili tupate maendeleo.

Asiwe mpenda starehe pombe no, mashost shost na kampani ambazo hazileti maendeleo big nooooo

#Siyo kwamba huku sipendwi ila bado sijapata mtu mwenye sifa hizo.

#Kingine watu wengi walijua niko na mtu so bada ya kuachana ni kimya kimya kwa hiyo watu wanajua mimi ni mke wa mtu lakini ndo sirudi nyuma nikipata mtu naemweleWa akanielewa, hata arudi kwa magoti itakuwa ndo basi.
Aisee
 
Back
Top Bottom