Sakata la Mbagala Litasaidia Kuonesha Tofauti ya Msingi wa Imani ya Ukristo na Uislam | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sakata la Mbagala Litasaidia Kuonesha Tofauti ya Msingi wa Imani ya Ukristo na Uislam

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NdasheneMbandu, Oct 19, 2012.

 1. NdasheneMbandu

  NdasheneMbandu JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 940
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wapo baadhi ya watu wamekuwa wakiamini kwamba Mungu anayeabudiwa na wakristo ndiye Mungu anayeabudiwa na waislam. Binafsi nimekuwa nikipingana na msimamo huu. Kwa sura ya nje tu tunaweza kuona tofauti kubwa ya makundi haya mawili. Wapo wanaosema Issa Bin Mariam ndiye Yesu lakini wanaopinga hilo kwanza wanakubali kwamba inawezekana ni Yesu lakini siyo Yesu Kristo. Wansema ipo tofauti kati ya Yesu na Yesu Kristo.

  Mimi binafsi siamini kwamba Mungu anayeabudiwa na pande hizi mbili ni mmoja. Sakata la Mbagala bila shaka litatusaidia kubainisha tofauti ya kiimani baina ya dini hizi mbili. Wenye macho na akili za utafiti watulie waone
   
 2. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Tamko la maaskofu wa KKKT limesaidia kubainisha tofauti ya ukristo na uislam. Wenye akili na macho angavu hatujachelea kuliona hilo.
   
 3. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #3
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hapo mwanzo kulikuwa na NENO......kumbe NENO alikuwa ni MUNGU.
   
 4. M

  Magurudumu JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,751
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Huo ni ukweli usiofichika. Huhitaji kwenda chuo kikuu ili ulione hilo. Kama unajua matendo ya shetani na matendo ya Mungu wa kweli ndio utajua kumbe waislamu wana Mungu wao na wakristo wana Mungu wao.
   
 5. Dumelambegu

  Dumelambegu JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,052
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Kulinganisha dini hizo mbili ni sawa na kulinganisha VURIGU na AMANI. Sasa nisiulizwe dini ipi ni vurugu na ipi ni amani. Nadhani hata waumini wenyewe wa pande zote mbili wanalijua hilo kinagaubaga.
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Wote ni wabangaizaji maana hakuna ajuaye Mungu yukoje zaidi ya visa na hadithi za pwagu na pwaguzi. Kwangu hizi dini zingefutiliwa mbali kutokana na kuletwa na wakaloni na wafanyabiashara ya utumwa kutugawanya ili waendelee kutunyonya. Ndiyo maana waafrika tunadharaulika sana. Kipindi fulani nikiwa chuoni tulikuwa tunasoma Golden Rule ya dini zote. Sikuona dini ya kiafrika na nilimuuliza prof akasema nimletee kitabu cha dini ya kiafrika nikamwambia kuwa si lazima dini iwe kwenye kitabu.
   
 7. Higash

  Higash JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 844
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  mleta mada mbona hili liko waz sana. kwa wakristo majini ni roho chafu kabisa hakuna jini mzur lkn kwa wenzetu kuna majini wazuri wanish.na wanadam.
   
 8. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  kuna dini ya jino kwa jino na kuna dini UPENDO, KUSAMEHE NA KUSAHAU
   
 9. N

  Nguto JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,641
  Likes Received: 620
  Trophy Points: 280
  Yes. Mungu wa wakristo ni Mungu wa amani. Ni Elohim, El Gibor, El Shadai, Jehova Nissi, Jehova Jire n.k. Ni Mungu anayejipigania mwenyewe na ukweli utabainika kuwa Mungu wetu ni Mungu wa Kweli tena yu Hai!!!
   
 10. J

  John W. Mlacha Verified User

  #10
  Oct 19, 2012
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 3,515
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  mtageuka kuwa panya
   
 11. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #11
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ........NENO hilo nimewapa na wamelishika na wameamini kuwa WEWE ndiye uliyenituma !
   
 12. Ally Kombo

  Ally Kombo Verified User

  #12
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 11,440
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145
  ...........tofauti ni kuwa Waislaam Mungu wao hawajapata kumuona wala kumpiga picha ! :photo:
   
 13. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Kwa maana hamna akili ndio maana munaabudu masanamu,
  Tena mmeyatundika katika nyumba za Ibada.
   
 14. Vijisenti

  Vijisenti JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2012
  Joined: Mar 11, 2011
  Messages: 474
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  La kwamba Watumie Busara za nyoka....... Yaani kuuwa kimya... kimya
  kwa kutambaa.. bila kuonekana waziwazi..... Kuua kwa mbinu mbinu....
  Yaani gaidi... kamata weka ndani, choma sindano ya sumu.
   
 15. Ngorunde

  Ngorunde JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2012
  Joined: Nov 17, 2006
  Messages: 1,122
  Likes Received: 733
  Trophy Points: 280
  Hayo ndiyo mawazo yaujazao moyo wako..!
   
 16. Che mittoga

  Che mittoga JF-Expert Member

  #16
  Jan 1, 2018
  Joined: Mar 28, 2017
  Messages: 1,302
  Likes Received: 1,257
  Trophy Points: 280
  Hilo Sakata la Mbagala lilikuwaje.
  Mtujuze sisi ambao tuko Likizo vijijini, ambako mtandao ni shida kupatikana.
  Kumetokea nini huko Mbagala, na kumesemwaje ?
   
 17. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #17
  Jan 1, 2018
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  Mbagala popobawa
  Mbagala mbinu
  Mbagala shida Usafiri
  Mbagala vyumba buku jero unapata kina umeme Na maji
   
 18. N

  Nguto JF-Expert Member

  #18
  Jan 2, 2018
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,641
  Likes Received: 620
  Trophy Points: 280
  Tunaabudu Mungu tofauti. Mungu wetu haui for the sake ya dini. Mungu wetu ni Upendo.
   
 19. M

  Milanzi2018 Senior Member

  #19
  Jan 2, 2018
  Joined: Dec 28, 2017
  Messages: 102
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 45
  MUNGU ANA MAMA BIBI BABU NA WAJOMBA ,PIA MUNGU ANAPIGWA FIMBO NA WANADAMU MPAKA MUNGU ANALIA
   
 20. Simple on looking

  Simple on looking Member

  #20
  Jan 2, 2018
  Joined: May 27, 2014
  Messages: 90
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  Wote apo Mashabiki tu wanaojua Dini bado hawajaja.
   
Loading...