We acha bwana enzi za Mwalimu. Miaka hiyo nilikuwa nasoma A level Mazengo Secondary. Bila ya shaka Mheshimiwa Msabaha na wengine wanakumbuka. Mimi yalinifika majira ya saa 2 usiku nilikuwa na kidate na mgirl wa kijiji cha jirani kinaitwa Kikuyu. Basi nimefika pale chini ya mkuyu twaanza kuongea...
Jamani huyu Bwana Anney mimi namfahamu vizuri. Majina yake kamili ni LEOPOLD ANNEY. Nimeshangaa kusoma kwenye magazeti eti huyu ni raia wa Iraq. Huyu kabila lake ni muiraqw (inatamkwa muiraku) ambao kwa jina lingine wanaitwa wambulu. Ni mzaliwa wa Karatu.
Kama walivyo wenyeji wengi wa Karatu...
Huyo Magnus Malisa ambaye anajiita Mwenyekiti wa walalamikaji ni tatizo na anayo malengo ya kisisasa. Ni mwanachama hai wa CUF. Kajipachika kwenye issue hiyo ilhali siyo mkazi wa Kipawa wala siyo muathirika. Ni mpuuzi mkubwa huyo.
Tupe majina Muadhama Pengo. Acha kuzungumza kitendawili na mafumbo. We need specifics and not generalities. Ni nani huyo fisadi ili watu wamjue na wasimpigie kura ni nani Baba Askofu. La sivyo kauli yako itakuwa ni wimbo usiokuwa na Chorus. Tunakuheshimu Muadhama. La sivyo utaitwa mbeya...
Kwa mazingira ya Ilala na kiburi ambacho nina hakika anakumbana nacho huyo DC hata kutoka kwa madiwani wa Ilala na hasa Meya Abuu Jumaa sishangai. Hata ningekuwa mimi ningefanya hivyo hivyo. Pale Ilala kama ingekuwa amri yangu ile Halmashauri ningeifutilia mbali na badala yake ningeunda Tume...
Hiyo state ya Mzee Nyerere imenikumbusha mbali sana. Mwalimu wangu wa management accounting used to say a balance sheet is like a woman in a mini skirt. It enables you to see the the essentials and hides the neccessities. That was 35 years ago. I hope my friend the CAG ndugu Utoh and Hon...
UBINAFSI, UBINAFSI, UBINAFSI. It is a frankestein syndrome. It is a monster that nowa its creator cannot control it. Ndiyo maana kinawatafuna hata wenye chama chao.
Akina Mangula na Mwakawago wasilie kwani na wao waliwafanya hivyo hivyo watangulizi wao. Hiyo ni laana. Laana Laana
Alichosema Clinton ni kuwa AICC was Geneva of Africa. Kwa sababu pale palikuwa eneo la mikutano kama ilivyokuwa Palais De Nations in Geneva ambako pia mikutano mingi sana hasa ya UN hufanyikia.
Arusha kama jiji sijui kakijiji hauna sifa wa kuwa Geneva. Never.
Ukiangalia historia ya Kanisa Katoliki huwa alionei haya serikali wala haiogopi. Events in the Philippines under President Ferdinand Marcos forced Cardinal Sin, the spiritual leader of all Filipino Catholics, to become involved in the politics of the region. He became witness to corruption...
Eh ama kweli. Enzi hizo pesa ya Tz inaitwa masai. Haikuwa rahisi kuwa na masai miaka hiyo. Ni matajiri wachache ndiyo walikuwa nayo. Miaka hiyo bia ilikuwa shs 1.50 cents
Hii equation imekaeje? Ponda dhidi ya CCM;
Ponda dhidi ya Wakatoliki;
Wakatoliki dhidi ya CCM;
BAKWATA dhidi ya Ponda;
Kinguge (CCM) dhidi ya Wakatoliki;
Majibu ni nini katika mustakabali wa kisiasa nchini?
Nasikia Kibanda mambo yake ni mazuri. Siku za karibuni amenunua magari matatu. Wanaomjua wanasema alitumiwa kumcharaza Mr SIx na of late akamshambulia Kijana Heavy. Ni yalke yale we are a nation mafisadi tolerant.
Hivi nyinyi mna masikio lakini hamsikii na macho mnayo lakini hamuoni. Nimeambiwa mzee Mtei ambaye ni muasisi na mkwe wa Mbowe alisema hawezi kukubali chama chake kiongozwe na Zito.
Mama yake Zito ambaye ni Mwenyekiti wa Chama cha Walemavu Tanzania alikuwa anataka sana mwanae achukue. Lakini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.