Enzi za Mwaaalim.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Enzi za Mwaaalim....

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Asprin, Sep 17, 2009.

 1. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Mnakumbuka enzi zileeeee za kuandikiana barua? Hebu jikumbusheni kiduchu.

  ** ROLL DOWN TOU YOU ** KISS BEFORE YOU READ

  P D N F"--- please do no fold

  Roll down to you sweetiepie Babe!

  Time and ability plus double capacity has forced my pen to dance automatically on this benedicted sheet of paper. Why! this miraculous thing happened is because papie I love you spontaneously and as I stand horizontal to the wall and perpendicular to the ground I only think of you, since you are a fantastic and fabulous guy. papie please stop haranguing with the feelings in my heart because I love you more than a snake loves rat. To me each day starts by thinking of you and ends by dreaming of you. Each time I see you my metabolism suddenly stops and my peristalysis goes in reverse gear. My medular-oblandata also stop functioning.

  Crazy crazy crazy you may say but this is true. If only you knew what is going on in my encephalon you would understand. That's why I need to see you face to face with you, soon. I think I have to pen-off hear because I still haven't finished studying electrolysis and polymerization. Catch you pa- later. Sleep tight and don't let those bed bugs ever bite you coz you are too sweet a the! ing for them.
  Yourz Ever,
  Sugar tapi tapi


  Now check on the reply.......


  ** ROLL DOWN TOU YOU ** KISS BEFORE YOU READ

  ** " P D N F"--- please do no fold

  My Love, My Sugar, i was exasperated with pride to have received one from you, the lungs in my body flapped with joy when i have been reading your letter. Anyway by now you have reached the realisations to why i am jotting this small letter to you, yes it is to see if you are keeping with the sands of time.


  How is everything on that other side of yours? Well here everything is just half lemon half sugar to makeit schweppes. How is your schooling? How are you pulling the wagons of life? I am just pulling the schooling thing like a donkey pulling a cart.

  My honie, i am missing you very much right now, my heart is perambulating with every word that i write, if it was not for these oceans that decided to flow between us then i would get on the next bus to come and see you, but until then i know that i will not hesitate to put this blue blood on this paper and write to you. I remember that day lovie, that one sweet day as Maria Curry sanged it, you know that it is my favorites song honie, the one day that we were boarding the combies and you escorted me to my home, walking with you just brought sweet dreams to me for the rest of my life honie.

  If words of love could ride a bicycle I would be competing against Diego Maradona.Anyways, i will not stop you from reading the books that give you life and education so I will stop here for today.

  Please always writing to me because I am missing you like sugar misses tea. You can see my foto below

  My dedications to you are :


  Maria Curry - One Sweet Day.

  Boys to Main - And of the Rod

  Keep well my mop of my heart, Yours in flesh and in blood, Ruise Sugar Baby

  P.S. Sorry about my english, I did not learn anymore

  Hope you had a ball  Wengine humu ndani hawakupitia enzi hii. Wamezaliwa enzi za Mobile phones. Wamekosa uhondo huu.
   
 2. GP

  GP JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  enzi za mwalimu unamfukuzia demu kinomaaaaaaaa, mara unamsubiri chini ya mwembe, mara unamvizia anakwenda kisimani kuchota maji, kali zaidi ni usiku unakwenda kwao unajibanza sehemu unarusha jiwe kwenye bati mtoto anatoka nje!!, hahahaaaaa haaaa enzi za mwalimu bana!, duh.
   
 3. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #3
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Mkuu umenikumbusha mbali sana. Hiyo ya kurusha jiwe kwenye bati nilishawahi kuitumia ikazaa matunda. Teheteheteh!!
   
 4. GP

  GP JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahaaaaa, sana mkuu!!, kuna nyingine za hatari sana, si unajua vijijini kwetu wengine nyumba paa la NYASI??, ukirusha jiwe hakuna kitu, so unaelekezwa midamida unagonga dirisha!, sasa dingi mtu akikustukia anakuwekea tageti, unagonga dirisha huyo hapo mgongoni kakunyaka mzee nomaaa!.
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Madingi wa zamani walikuwa wanoko sana. Mi nilikuwa najibanza pembeni ya mwembe nasubiria vishosti vinavyotoka kuchota maji mida ya kigizagiza. Vikikaa vibaya vinakatwa mtama mzee mzima namaliza shughuli. Ajabu vilikuwa havipigi kelele. Inawezekana vilikuwa vinainjoi. Gesti nimekuja kuzijua enzi za Mkapa.
   
 6. B

  Boney E.M. JF-Expert Member

  #6
  Sep 17, 2009
  Joined: Jan 22, 2007
  Messages: 425
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Aaaahahaha!! Nakumbuka ile ya msichana wako ili uweze kumwamsha usiku anafunga kiuzi kwenye kidole halafu anato kiuzi dirishani ili ukija ukivute naye anaamka taratibu bila tatizo. anatoka unamaliza mambo....
   
 7. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #7
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Kaka hii ya kwako ni kali zaidi. Akikutaim mkware akakavuta kauzi kabla yako?... kwishnei!
   
 8. senator

  senator JF-Expert Member

  #8
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 1,927
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133
  hahahaha!! hii inaonesha jinsi watu walivyokuwa creative katika kujenga strategy za kubanjua amri numero 6..madingi wanapokuwa wanoko kulinda watoto wao...na watoto wanajenga njia mibadala yakuwachomoka.Nimependa kweli hyo ya kamba...ingawa siku hizi n mwendo wa viselula afu afterall midingi mingi siku imekuwa mifataki tu...
   
 9. GP

  GP JF-Expert Member

  #9
  Sep 17, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 2,073
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  hahahaaaaa haaaa sina mbavu!!!!, ebwanaeee hapo ni noma, sio siri shori ndani ansubiri kamba ivutwe huyooo anatoka nje!. sasa chukulia demu wa Fidel ndo kafunga uzi halafu Masanilo anampiga ovateki anawai pale homu, na kwa kua demu anajua anakwenda kubanjuka akitoka nje na kumkuta Masanilo unadhani atakataa arudi ndani??, thubutuuuu huyooo jamaa anajichukulia kiulaini.
  aaah, enzi za mwalimu bana ilikua noma, people were so creative!!.
   
 10. K

  Kamuna JF-Expert Member

  #10
  Sep 17, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 297
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Kuna ile ya afajiri demu anajifanya anaenda kisimani, wazazi na jamaa wamelala maana wanajua kumekucha ni salama, basi arrangement zinakuwa zilifanyika shule alfajiri unawahi palepale home unakwangua halafu anaenda kisimani. watu wakiamuka wanamsifia kwa kuamka mapema na kufanya kazi kabla hajaenda shule!Jamani binadamu hawezakani. Enzi za mwalimu!Acha tu
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Sep 17, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  mhhhh?
   
 12. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #12
  Sep 18, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeniumizia mbavu zangu.
   
 13. S

  Simoni Member

  #13
  Sep 19, 2009
  Joined: Oct 10, 2008
  Messages: 67
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  We acha bwana enzi za Mwalimu. Miaka hiyo nilikuwa nasoma A level Mazengo Secondary. Bila ya shaka Mheshimiwa Msabaha na wengine wanakumbuka. Mimi yalinifika majira ya saa 2 usiku nilikuwa na kidate na mgirl wa kijiji cha jirani kinaitwa Kikuyu. Basi nimefika pale chini ya mkuyu twaanza kuongea na kutaka kukaribiana si wakaja waalimu wa zamu na maprefect bwana. Niliklimbia mbio ambazo enzi zile hata Kipichoge Keino asingeona ndani--m,bio hadi kwenye geti ambalo kutokana na adrenalin niliyokuwa nayo niliiparamia na kukimbilia chumbani. Jamani acheni hizoi ndiyo zilikuwa enzi. When I recall those days that now I am 59 I cant help but smile. Especially when I see my 25 year old chasing them girls in a different setting. Natambua hizi enzi sizo za mwalimu.
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Sep 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280

  Mkuu we ndio wa enzi za mwalimu orijino. Kama umebukua na kina Msabaha si mchezo. We ndio unapaswa utupe nyingi za enzi hizo.
   
 15. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #15
  Sep 29, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  AAAH hii ni kweli au unatufunga kamba ?? miaka gani hiyo jamani ili na mie nijaribu kukadilia kama nilikuwepo
   
 16. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #16
  Sep 29, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,041
  Likes Received: 24,026
  Trophy Points: 280
  Enzi za Mwalimu Nyerere mamii.
   
 17. J

  JackieJoki Member

  #17
  Sep 29, 2009
  Joined: Sep 24, 2009
  Messages: 57
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0


  sina mbavu nice funny
   
 18. Consultant

  Consultant JF-Expert Member

  #18
  Sep 29, 2009
  Joined: Jun 15, 2008
  Messages: 5,799
  Likes Received: 6,307
  Trophy Points: 280
  Hii imekaa ki ubakaji zaidi!
   
 19. Crashwise

  Crashwise JF-Expert Member

  #19
  Sep 29, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 22,172
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  ubakaji ni neno pana sana, lakini kwa taarifa yako kuna makabila mpaka miaka ya 1990..demu hakuvulii nguo kama hutatumia nguvu haiimanishi kwamba hataki kufanywa, ndiyo watu walikuwa wanapingwa mitama wanafanywa ataenda kusema wapi, ataanza je...ulikuwa ukimtaka demu halafu anakuzingua unamtaimu tu kaenda kwenye maji, kuchunga au unamtumia rafiki yake wakike anampeleka sehemu halafu unatokea unamshika kitu kitu...hizi zitakuwa enzi za shemeji
   
 20. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #20
  Sep 29, 2009
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,372
  Likes Received: 3,136
  Trophy Points: 280
  utaua joji poji.......................
   
Loading...