Mfalme Suleiman
Member
- Sep 7, 2009
- 5
- 0
Jamani taifa lolote haliwezi kuendelea pasipo wakosoaji tena wakosoao kwa bidii.taasisi za kidini ndio hasa chanzo cha kupigania haki, uhuru na amani ya nchi yoyote.kwa mantiki hii ni kwamba jasho la church movements kipindi kile lisije likapotea bure kwa kutotambua jitihada zao. naili iwe hivyo pengo anapigana kufa nakupona kuhakikisha kuwa serikali inapaswa kuwajibika juu ya ufisadi naona poa tuu. serikali na dini haviingiliani ila sasa ila sio sababu ya kukaa kimya kabisa na kuacha serikali inaendeshwa vibaya bila kuwaenzi waasisi waliopigania uhuru huu.