Sidhani kama kweli huyu askari uliyemtaja ndiye mhusika, naangalia silaha aliyoshika mkononi si ya moto, inaitwa pump action risasi zake ni zampira, na hutumiwa na askari wa ffu kwa kutawanya watu, aidha madhara yake ni kujeruhi tu, other wise labda kamahuyu askari alitumia gun nyingine
Nakumbuka wakati fulani (2010 i think) aliwahi kuongelea swala hilo na yeye mwenyewe akasema anayo kadi ya CCM na akasema hana mpango wa kuirudisha kwa sababu ni mali yake na atabaki nayo kama kumbu kumbu,
si amri jeshi tu ndugu yangu hebu linganisha hata nguvu yetu ya jeshi ya sasa hivi na wakati ule, hivi leo hii tunao makamanda jasiri kama wa wakati ule akina Mwita KYARO, Jenerali Mayunga wa wakati ule? nahisi hata watanzania wa waakati ule hasa vijana walikuwa wazalaendo sana sio hii bongo...
Sina uhakika hata Dotto Bulendu kama anamfaham vzr huyu jamaa otherwise asingemwlika kwenye kipindi chake, angalia anavochafua mjadala na sasa hivi anasema eti amekasilika Moses ni janga la hicho kipindi hata Dotto mwenyewe ameshamgundua
Mi nimemwelewa nadhani anamaanisha kuwa Joyce Banda alivyofanikiwa kututia hofu mpaka sasa hivi wanaume wazima tunavyoelekea kugwaya kiasi hata cha kushindwa kutoa msimamo wetu juu ya mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, aibu gani hii mwanaume mzima unapigwa mkwara na kamwanamke unabaki kuchekacheka...
Kama miaka yote CCM imekuwa madarakani hapo Mbeya imeshinndwa kuboresha huduma za maji sugu anawezaje kufanya hivyo kwa miaka miwili na nusu? au unatuambia sugu alipochaguliwa ubunge hapo Mbeya alikausha na hayo maji?
Taarifa zilizotangazwa ni kwamba CWT imekubaliana na uamuzi wa mahakama na kwamba wamekubali kusitisha mgomo na kurejea kazini kama kwaida. Taarifa kamili saa 2.00 jioni source. tbc1
kama CCM na CDM wanawabunge sawa CDM wana mbunge so it's time Kiwia arudi haraka Mwanza akapige kura na ikiwezekana kama wana viti maalum watumie hiyo advantage
Mbona madai yenu nifedha na kuboreshewa maisha tu, hivi mazingira ya kazi zenu ni conducive kweli? madawati, vyumba vya madarasa, upungufu wa vitabu na vitendea kazi, nyumba za walim ukosefu wa maabara nk si issue kwenu ila mishahara na malimbikizo ya malipo tu? hapo ndipo madaktari walipo wazidi!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.