CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

CWT yasisitiza mgomo upo palepale Jumatatu tar 30/07/2012

Join Date : 28th July 2012
Posts : 1
Rep Power : 0
Likes Received0
Likes Given0
karibu
sana
 
Watatoka mafichoni huko waliko na kushusha tuhuma "wametumwa na chadema" wakati ni issues za msingi, malimbikizo ya madai, mshahara na posho za mazingira magumu
 
Wamepewa na dili la kuhesabu watu, sidhani kama watagoma.
 
mi nataka jua tu hii move yao safari hii itaishaje kwani tumekuwa tukiona mastering wakifa na picha ndipo inapoishia. Hii itakuwa part ya ngapi vile kwa kuwa naona kama series vile
 
Mbona madai yenu nifedha na kuboreshewa maisha tu, hivi mazingira ya kazi zenu ni conducive kweli? madawati, vyumba vya madarasa, upungufu wa vitabu na vitendea kazi, nyumba za walim ukosefu wa maabara nk si issue kwenu ila mishahara na malimbikizo ya malipo tu? hapo ndipo madaktari walipo wazidi!
 
Walimu bana,,hakuna kundi lisiloaminiwa kama walimu!achana nao kabisa hawana muamana.dont take them seriously
 
Ikulu walibipu sisi walimu tunawapandia hewani.
 
Watanzania tuna roho ngumu kweli, yani bado mna imani kuwa walimu watagoma ktk hii nchi? Ni afadhali ngamia apenye kwenye tundu la sindano kuliko walimu kugoma
Jaku na wewe huna habari kwamba walimu walishagoma?KUINGIA KWA MWANAFUNZ KIDATO CHA KWANZA BILA KUJUA KUSOMA WALA KUANDIKA NI MGOMO HUO
 
mbona madai yenu nifedha na kuboreshewa maisha tu, hivi mazingira ya kazi zenu ni conducive kweli? Madawati, vyumba vya madarasa, upungufu wa vitabu na vitendea kazi, nyumba za walim ukosefu wa maabara nk si issue kwenu ila mishahara na malimbikizo ya malipo tu? Hapo ndipo madaktari walipo wazidi!
chenji ya chenge itanunua vitabu,umesahahu bunge la kutokua na imani na pinda?
 
Nina wasiwasi na huyu mwenyekiti anaposema mgomo hupo palepale kwani Mahakama ya kazi haijatoa tamko la kupinga huo mgomo ina maana tamko likitolewa na mahakama basi na yeye atasitisha, kweli hii ni comedy tusubiri tuone.
 
Chama cha walimu Tanzania ni chama cha kifisadi kisichokuwa na dhamira ya dhati kuwakomboa walimu. kimetumia zaidi ya Milioni 240 kuitisha mgomo feki kwa kuwafanya Walimu au watanzania ni wapumbavu. Nasema hayo kwa sababu zifuatazo.

1. Wanadai mishara iongezwe kwa 100%, posho walipwe 50%, posho ya mazingiza magumu iwe 30%.

NB: Hii maana yake ni kuwa mwalimu mwenye basic salary ya Tsh. 700,000/= alipwe mshahara mpya wa Tsh. 1,750,000/= [(yaani 700,000/= x 2 = 1,400,000 + 50%(350,000) = 1,750,000]. is it possible?

Kwa maana nyingine ni kuwa, serikali iandae bajeti yenye uwezo wa kuajiri walimu wapya kwa idadi ya walimu waliopo tanzania kwa sasa, hapo ndio itakuwa na uwezo wa kuwatekelezea walimu hao madai yao. Is it possible or just a day dream of CWT?

2. Wametoa Tsh. 1,500,000 kwa wilaya zote za tanzania (Wilaya 134 x 1,500,000/-) = Milioni mia mbili na kumi + Tsh. 1,500,000/= kwa kila CWT Mkoa (kwa mikoa 24)....maana yake hapo ni : Milioni 36; kwa ukijumlisha : MIL:210 + MIL. 36 = MIL. 246. Pesa hizo zote wamesema zitumike katika ngazi hizo kuhamasisha mgomo, je mwalimu wa kawaida anayechangia hizo feza anafaidika na nini katika hayo mamilioni? huo ni ufisadi mkubwa coz hela zote zinaingia kwenye matumbo ya akina mukoba kwa maslahi yao binafsi.

3. Shule zinafungwa tarehe 3, August ( primary na secondary), sasa huo mgomo una nguvu gani/ yaani hauna madhara kwa serikali hata kidogo. rais ni kilaza kwa sababu hajui timed reinforcement/ appropriate time kufanya mgomo.

4. Walimu wote wanaenda kuhesabu sensa kuanzia tarehe 06. August kwa kuhudhuria semina elekezi, sasa ataiathiri vipi serikali ili iweze kumtimizia madai yake.

NB: Naomba mfahamu kuwa viongozi wa CWT wapo kimaslahi zaidi/binafsi na sio kuwatetea walimu.

*Wakufunzi wote wa vyuo vya ualimu wameshastukia hilo, hawaungi mkono mgomo, na wapo mbioni kujitoa CWT ili kuanzisha chama chao ambacho kitakuwa na nguvu kudai haki zao kuliko ilivyo sasa kuburuzwa na CWT.

Habari ndio hiyo.
 
mimi nilishagoma kuchangia hizi 'clubs' za kutetea wafanyakazi, ni aina nyingine tu ya ujanjaujanja wa mjini na utapeli..staki kuskia upuzi wao asilani.
 
hawa jamaa (CWT) waache uhuni, walimu wagome lakini waruhusiwe kushiriki sensa.
 
Toka hapa nyoka wa jangwani mbegu ya dhalimu! Mungu akuangalie kwd macho yote!
 
Kwanza unaonekana ni rahisi sana kusena siasa ndio inasabisha haya.
 
Walimu wakiitwa kuhesabu kura wamo leo uwaambie wasiende kwenye Sensa mtagombana. sasa eti watakuwa ktk mgomo wakati wa Shule kufungwa na watakuwepo katika sensa kuna mantik hapo ya mgomo kweli?
 
Mbona maelezo yako yanaji contradict yenyewe?..
Umesema pesa zimetumwa kila mikoa na kila wilaya.. Iweje tena useme "Pesa zote zinaingia kwenye matumbo ya akina Mukoba"???...

Unaonekana unatumiwa na kina naniliu!
Wasalaam.
 
Ukisikia mahala kuna kususa ujuwe kuna mkono wa chama fulani chenye sera ya kususa-susa Tanzania.

Kisia ni chama kipi hicho?
 
jamani Suala la SENSA walimu wameomba kushiriki ktk zoezi hili Kama raia wengine wamejaza form na kuzisubmit kwa wakurugenzi Kama watu wengine na mwaka huu sio wameteuliwa automatically tuache upotoshaji
 
Back
Top Bottom