nyangasese
Senior Member
- Aug 21, 2011
- 129
- 22
Si kweli kuwa huyu diwani wa cuf ni wa muda mrefu tangu 2000.kabla ya uchaguzi wa 2010 kiti hicho kilikuwa kinashikiliwa na ccm chini ya diwani yahya nyahonge
Kweli kabisa Mkuu. Hizi siasa zetu za kuviziana na za mitego ya panya ya kusubiri wanase waliomo na wasiokuwamozitatufikisha pabayaJamani haya ni mambo serious lazima tuyaangalie vizuri kwenye katiba mpya.
Kama CDM ina madiwani 9, CCM 9 na CUF 2. Maana yake ni kwamba chaguo la wana Mwanza ni vyama vya CDM na CCM. Kama kweli tunafuata demokrasia ya kweli basi nilitegemea MEYA NA NAIBU MEYA watoke either CDM or CCM. Naibu meya kutoka CUF chenye madiwani 2 tu huu ni ubakaji wa DEMOKRASIA mchana kweupe.
Mapendekezo yangu, ili kuondokana na hii mizengwe, kwenye KATIBA MPYA tupendekeza ma-MEYA wae wanapigiwa kura direct na wananchi kwenye uchaguzi mkuu. Sio Ma-meya kuchaguliwa na madiwani.
Ndvyo MAMEYA wanavyopatikana katika nchi za wenzetu mfano MAMEYA wa London, Paris, NY etc.
Tuondokane na katiba hii ya mizengwe iliyowekwa na CCM.
Kwa mlio mbali hamjui kilichotokea.Hali halisi ni kwamba ktk uchaguzi wa udiwani kata ya mirongo chadema hawakusimamisha mgombea, cuf waliwaomba cdm wawaunge mkono na cdm wakakubali.mgombea wa ccm yahya nyahonge alikua na nguvu na anakubalika kuliko wa cuf, lakini cdm ndio waliowabeba na hata matokeo yalipokuwa yakitangazwa katani cdm ndio waliokuwa wengi wakiongozwa na wenje ktk kushangilia ushindi huo wa cuf.Bika cdm, cuf hicho kiti wangekisikia tu
Acha uongo,ngoja nikusaidie,tulipokua tunaenda ktk uchaguzi wa 2010 kata hii ilikuwa ni ngome ya ccm,diwani akiwa yahya nyahonge.Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi madiwani walikuwa:1.Mh nyanguli (ccm)-1995-2000Mkuu JF kuna Great Thinkers sio porojo unadhani Mwanza watu hawaijui...ngoja nikufahamishe kwanza kata ya mirongo wafuasi wa Chadema wapo wachache sana hiyo kata ndio kata ndogo kuliko zote Mwanza wakazi wake karibia wote wanajuana...na huyu diwani wa Mwanza Daud Mkama sio mara yake ya kwanza kushinda udiwani hapo Mirongo alishinda udiwani wakati wa Mkapa na Chadema waliweka mgombea Mwanza nzima wapinzani wawili Mirongo Mkama, CUF na Jumbe wa UDP Nyamagana...na wenye viti wa mtaa hapo mirongo ni CUF na Mirongo ndio kata ambayo CCM uwa wanashindwa kila kitu huyo Wenje alishazomewa hapo Mirongo kwenye kiwanja cha Ngokos, alimponda diwani wao, Daudi Mkama ndio diwani wa kwanza kujenga daraja mirongo mwaka 2000.
Siku ingine ukija JF njoo na data za kutosha.

Mkuu Molemo ni lini halmashauri ya jiji la mwanza inatarajiwa kuvunjwa rasmi ili kupisha uanzishwaji wa halmashauri za Ilemela na Nyamagana?
Katika mgawanyo huo wa Ilemela na Nyamagana kwa kuangalia uwiano wa madiwani ni chama kipi kitakuwa na uwezo wa kushinda umeya katika halmashauri hizo mpya?
Na je uchaguzi wa meya wa jiji la mwanza umepangwa kufanyika lini?
Acha uongo,ngoja nikusaidie,tulipokua tunaenda ktk uchaguzi wa 2010 kata hii ilikuwa ni ngome ya ccm,diwani akiwa yahya nyahonge.Tangu kuanza kwa mfumo wa vyama vingi madiwani walikuwa:1.Mh nyanguli (ccm)-1995-2000
2.Daudi mkama(cuf)-2000-2005. 3.Yahya Nyahonge (ccm)-2005-2010.hapo ngome ya cuf inakuja vipi.pia nikusaidie kuwa ktk uchaguzi uliopita cdm hawakusimamisha mgombea ktk kata hii pamoja na kata ya Igogo.kusema kuwa ni ngome ya cuf si kweli,leta data.pia kwa kukuhabarisha,huyo mwenyekiti wa mtaa wa kafu Khadija Simba,kabla ya uchaguzi alikua ni m/kiti wa mtaa kwa tiketi ya Tlp.Tafadhali unapoingia humu uwe na data kamili sio kudanganya watu.
kama CCM na CDM wanawabunge sawa CDM wana mbunge so it's time Kiwia arudi haraka Mwanza akapige kura na ikiwezekana kama wana viti maalum watumie hiyo advantageJamani haya ni mambo serious lazima tuyaangalie vizuri kwenye katiba mpya. Kama CDM ina madiwani 9, CCM 9 na CUF 2. Maana yake ni kwamba chaguo la wana Mwanza ni vyama vya CDM na CCM. Kama kweli tunafuata demokrasia ya kweli basi nilitegemea MEYA NA NAIBU MEYA watoke either CDM or CCM. Naibu meya kutoka CUF chenye madiwani 2 tu huu ni ubakaji wa DEMOKRASIA mchana kweupe. Mapendekezo yangu, ili kuondokana na hii mizengwe, kwenye KATIBA MPYA tupendekeza ma-MEYA wae wanapigiwa kura direct na wananchi kwenye uchaguzi mkuu. Sio Ma-meya kuchaguliwa na madiwani. Ndvyo MAMEYA wanavyopatikana katika nchi za wenzetu mfano MAMEYA wa London, Paris, NY etc. Tuondokane na katiba hii ya mizengwe iliyowekwa na CCM.