Dr. Slaa bado anayo kadi ya CCM?

Kadi kitu gani bana, binafsi kadi ya CCM bado ninayo, lakini nimekoma kuwa mwana CCM siku nyiiingiii!
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.
Milipokuwa mwanachama rasmi wa CHADEMA nilichoma moto nguo na vitu vyote ambavyo vilikuwa rangi ya kijani na njano. Sikuhitaji kuvipeleka kwa mjumbe wa shina
 
kadi nini mimi nilichana chana baada ya kuona ccm ni kichaka cha maovu na hakuna mtu atakayeniuliza kadi iko wapi maana sina mkataba na magamba na ujinga unaofanyika ndani ya chama
 
Nakumbuka wakati fulani (2010 i think) aliwahi kuongelea swala hilo na yeye mwenyewe akasema anayo kadi ya CCM na akasema hana mpango wa kuirudisha kwa sababu ni mali yake na atabaki nayo kama kumbu kumbu,
 
Kwa tabia za huyo mzee hastahili kuwa na kadi ya CCM. Muuwaji mkubwa huyo.
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.

Kachukue wewe ukabidh'' acha ujinga bora utulie
 
ARCHIVE:ndo hizo we zuzu atakumbukaje kama alitoka wapi ni haki yake coz ile ni karatas tu af kibaya zaid huitumia kadi hyo kuchambia
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.
mbona hata Wassira bado ana ya NCCR hamsemi lini alikabidhi, mmekosa hoja za kuongea ndio mmebaki kuwaza dk kama ni mwanachama wenu
 
kama mtu anaweza kuwa na akaunti CRDB, NBC, NMB, Exim nk kwa nini mtu asiwe na kadi za vyama tofauti? Cha muhimu moyo wake upo wap!
 
Sina kadi, lakini nimekabidhiwa ilani kwaajili ya utekelezaji wa majukumu yangu...
 
Mzee Mwanakijiji umeuliza vyema. uanachama wa CCM unakomaje? Mie nasikia kaitunza kama souvenir
 
Bangi bila kula unafikiri mchezo?Kadi ya nini,kwani ccm ni klinik,mbona wasira hakurudisha kadi ya NCCR-mageuzi?

Gwakisa Mwandule, sio bangi tu, bali wanachanganya na "viroba" hasa "Tyson" na "Samson". Hauzuiwi kuiweka katika makumbusho. Mbona watu wanazirudisha kadi katika mikutano ya hadhara na umma hautangaziwi kuwa fulani (kwa jina) amerudisha kadi?
 
Kwa wafuatliaji wa siasa za hapa kwetu Tanzania , mtakumbuka ya kwamba Dr Slaa alikuwa mwanachama mtiifu wa ccm kabla ya kuasi chama na kukimbilia cdm. Hata hivyo, mpaka leo hii Dr Slaa hajawahi kukabidhi kadi ya ccm.

Kama kawaida yako endelea na single nyingine hiyo haisikilizwi tena
 
Back
Top Bottom