Joyce Banda wa Malawi ni hatari kwa Tanzania

Huyu kibaraka mkubwa wa mabeberu sijui ni kwa nini Jeshi lisiwe deployed kwenye border immediately.Hiyo pia ni mbinu ya kidiplomasia.Hii ni dalili kwamba mabebeu wa magharibi wameanza kuichoka Tanzania hasa baada ya meli za Iran kusajiliwa kupitia jina la Zanzibar

Pia ni fedheha iliyoje kwa Africa kuendelea kukumbatia mipaka ya kikoloni ilihali wao wanatoka huko.Pia inaonekana itakuwa nguimu sana Afrika kuungana unapokutana na vibaraka kama Joyce Banda.Sijui vijana wa Malawi wanajisikiaje kuongozwa na this puppet? ingawa hata sisi tuna wakoloni weusi lakini tunaendelea kupambana kuwaondoa .Nilionya hapa JF siku moja waliokuwa wakimshangilia huyu mama.Tunapenda mno vitu vipya
 
Mwacheni huyo Mama Banda aendelee na majeshi yake KUFANYA UTALII WA KIVITA ndani ya ardhi yetu mwisho wa siku atalaani kilichomtuma kwa uchokozi wote huu wa wazi.

Kwataarifa tu, baadhi ya
wataalam wake wa muhimu sana huyu mama kwa maswala nyeti na madini na gesi chini ya ardhi tayari wapo nchini mwetu kwa zaidi ya mwaka sasa pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Habari ndio hiyo.

Pamoja na yote, ni muhimu tena sana Ndugu zetu Wa-Malawi wakachagua kuwa upande mzuri wa historia kwa KUCHAGUA AMANI NA AMANI TU laa sivyo ...
 
mtoa mada was and is a trully great thinker
kumbe hatupaswi kumshambulia mtu bila kufikiria au kusubiri kuambiwa kwanini aliandika maono kama haya.
mliomshambulia wote nawashauri kuomba tu msamaha wa kawaida kama binadamu.
 
Mi nimemwelewa nadhani anamaanisha kuwa Joyce Banda alivyofanikiwa kututia hofu mpaka sasa hivi wanaume wazima tunavyoelekea kugwaya kiasi hata cha kushindwa kutoa msimamo wetu juu ya mgogoro wa mpaka wa ziwa nyasa, aibu gani hii mwanaume mzima unapigwa mkwara na kamwanamke unabaki kuchekacheka tu! hata udhifu una kiwango, jamani inauma!
 
Wakuu,
Pamoja na mjadala huu kuwa na hoja zilizo nzuri kwa maslahi ya taifa letu, upo uwezekano mkubwa kwamba, maadam mchokozi na watu wake nao wanajua Kiswahili, pengine wako hapa (JF) nasi wakifuatilia kila kinachoandikwa kwa sababu zao za kiintelijensia.
Hivyo tunapoendelea kujadili, si vibaya kutahadhari tusijikute tumemweleza adui kila udhaifu tulionao. Badala yake, tunaweze kujikita katika kuanika kile anachoendelea kufanya katika eneo letu na kile anachokusudia kufanya baadaye.
Wazee wa kule kanda ya ziwa Nyanza wana msemo; Zamani chui alikuwa hajui kukamata shingo la mawindo yake, alijifunza baada ya kusikia mawindo ya kinong'ona kwamba; ‘tunachomoka maana anakamata mikia, siku akikamata shingoni, tumekwisha'
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

Jitayarishe kwa maandamano na sio kuwaza mambo ya majirani.
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

WATANZANIA TUSHUKURU MUNGU... tumepata wa kutuunganisha
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

Nenda mbali naye ili asiwe jirani yako.
 
Hata mimi naona hapa amechanganya habari kabisa hakuna kitu kama hicho. Kwa Malawi kuna haja ya kuwa makini nao. Nilikuwa huko April karibu wote wanasema ziwa Nyasa / malawi maji yote yao wao sisi tunatumia isivyo halali. Wanasema ziwa letu ni Tanganyika lote letu. Hivyo kuna shida hapa sijui Serikali yetu inasemaje hapa kwani uongo ukizungumzwa mara nyingi huwa kweli, hata ukiangalia kwenye ramani za kimataifa mpaka unaonyesha maji yote ya Banda na wenziwe. Tungeanzia kwa hawa wasoma ramani kuwachimba
mkwara. ANGALIA HII HAPA CHINI

Note: Maji wanayopakana na Msumbiji hawana shida nayo wanakubalki hilo
tanzania_pol_1989.jpg
[/zmQUOTE]

kwa kweli ziwa hili lote ni la malawi
 
Hiyo ramani imetayarishwa malawi nini? duniani kote hakuna mipaka ya hivyo... ndio maana hata Hayati Nyerere alisema banda anawazimu kabisa, fikilia kama maji yote ni ya malawai, ikatokea kafuriki yanayosababishwa na ziwa, nani atalipa fidia wanyasa ya songea?

Hata mimi naona hapa amechanganya habari kabisa hakuna kitu kama hicho. Kwa Malawi kuna haja ya kuwa makini nao. Nilikuwa huko April karibu wote wanasema ziwa Nyasa / malawi maji yote yao wao sisi tunatumia isivyo halali. Wanasema ziwa letu ni Tanganyika lote letu. Hivyo kuna shida hapa sijui Serikali yetu inasemaje hapa kwani uongo ukizungumzwa mara nyingi huwa kweli, hata ukiangalia kwenye ramani za kimataifa mpaka unaonyesha maji yote ya Banda na wenziwe. Tungeanzia kwa hawa wasoma ramani kuwachimba
mkwara. ANGALIA HII HAPA CHINI

Note: Maji wanayopakana na Msumbiji hawana shida nayo wanakubalki hilo
tanzania_pol_1989.jpg
[/zmQUOTE]

kwa kweli ziwa hili lote ni la malawi
 
Utadhani amemeza siafu au pilipili. Joyce Banda kafanya nini? Hawa ndio wapiga ramli.
...........mleta nyuzi hii nampongeza sana, maana kama ni ramli kapatia hasa, sasa hebu cheki mama anataka kuchukua ziwa nyasa, na kututishia kwa boti 4, na rada toka Israel, ...... ama kweli wewe kiona mbali
 
sizungumzii hayo mambo yake ya kupiga vita ufisadi etc

nazungumzia kwa mtazamo mwingine kabisaa ambao nyinyi ma great thinkers mnajua ni upi na hasa kuwa na jirani kama huyu

I'm very uncomfortable kuwa na jirani kama huyu.

anatafuta jinsi ya kuungwa mkono uchaguzi mwaka kesho nafikiri....hana njia nyingine zaidi ya kuiboa choko choko za miaka iliyopita ambazo hazihisaidii Malawi zaidi ya kua na undertone za kisiasa ili apate support kisiasa.
 
na speech ya Membe imeandikwa na hao ma agents wa Malawi ambao mnasema wamejipenyeza kwenye serikali ya Tz

mimi naamini hilo
 
Huyu kibaraka mkubwa wa
mabeberu sijui ni kwa nini Jeshi lisiwe deployed kwenye border
immediately.Hiyo pia ni mbinu ya kidiplomasia.Hii ni dalili kwamba
mabebeu wa magharibi wameanza kuichoka Tanzania hasa baada ya meli za
Iran kusajiliwa kupitia jina la Zanzibar

Pia ni fedheha iliyoje kwa Africa kuendelea kukumbatia mipaka ya
kikoloni ilihali wao wanatoka huko.Pia inaonekana itakuwa nguimu sana
Afrika kuungana unapokutana na vibaraka kama Joyce Banda.Sijui vijana wa
Malawi wanajisikiaje kuongozwa na this puppet? ingawa hata sisi tuna
wakoloni weusi lakini tunaendelea kupambana kuwaondoa .Nilionya hapa JF
siku moja waliokuwa wakimshangilia huyu mama.Tunapenda mno vitu
vipya

Si ni mlokole jamani huyo mama?!?!
 
Nawaambieni watanzania kabla huyu jk hajamaliza muda wake atakuwa ametukoroga sana katika udini, majimbo, ukabila, makundi ya wasionacho na wenyenacho.......nyie mchekeeni tu ....anaangamiza taifa tunamwangalia tu!
 
Back
Top Bottom