ahahahah eliud na mguu wake uliopinda alikua mnoko balaa kunasiku katunyakua embakassy kwa chini kule mtoni tunakobeba moramu tumedoji kuvuna mahindi tulilula doso la hatari af akaomba kolabo kwa luteni ulasa na ishengoma mbona nilitamani kuikimbia oljoro
duuuuu haya bhana king kiba nimesubiria kwa hamu huu wimbo ili atleast unipunguzie machungu na hasira ya firauni ASENO WENGER af unaniletea utani huuuu
Nauza simu yangu Vodafone smartkika kwa bei chee kabisa 35000 tu simu ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote
Ninapatikana ukonga mombasa
Mawasiliano 0756817931
Daaa bonge moja la wimbo inakufanya usijione kua ww pekeako ndo unashida katika hii dunia imenigusa sana na kunipa ari ya kupambana na changamoto pongezi kwake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.