Umeolewa dada.................?Du! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
Hahaaaa baba urasa alikuwa poa sana lakini shingoma alikuwa mtu wa misifa sana alafu urasa alikuwa o.c wetu vipi kuna maro a.k.a bwana pepsi ulimkutaKote huko tumefika bb na Afande wetu CO Myala nawakumbka akina Urasa,Mwalami , Shingoma nk daah mbal xn
Duuu huko mtoni ilikuwa ni chimvo langu nilikuwa naenda hadi nadosoito mpaka zizini kwa mzee lyaseko na kule kitovu kwenye mlima ulotitia karibu na moita sec school[emoji3] [emoji3] [emoji3]ahahahah eliud na mguu wake uliopinda alikua mnoko balaa kunasiku katunyakua embakassy kwa chini kule mtoni tunakobeba moramu tumedoji kuvuna mahindi tulilula doso la hatari af akaomba kolabo kwa luteni ulasa na ishengoma mbona nilitamani kuikimbia oljoro
Hongera sana kumbe ulipitia mujibu wa sheria eh, now naimani we ni mwanamke shupavu na jasiri "Wiiii"Du! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
Kiboksi Manyoya ni neno la kiswahili kitarafa maarufu sana kutumiwa na vijana wa rika la umri mdogo na kati kitaa.Mara