Siwezi kurudiana na Nay wa Mitego - Shamsa Ford

geometry

JF-Expert Member
Oct 30, 2014
466
356
Hiyo ni baada ya jana Ney wa Mitego kupost instagram picha ya Shamsa Ford nakuandika "happy valentine"

Ndipo kupitia ukurasa wake Shamsa akaonyesha Ku panick
Hata hivyo baada ya Shamsa kupost maneno hayo Ney aliitoa ile picha

"Naona mambo yanazidi kuvumishwa kwamba nimerudiana na Nay. Pls pls nina maisha yangu na mwanaume ambae nampenda na kumuheshimu. ..sijarudiana na nay na haiwezi kutokea kabisaaa. ..Nay una ndugu na marafiki wengi wa kuwaposti siku ya leo haikuwa muhimu uniposti mimi. nilishukuru Mungu watu walishasahau kuhusu mimi na wewe but naona umetaka kuyafufua. Sipendi scandal na si maisha yangu kutafuta kiki za kijinga. KAZI YANGU NDO INAYONITAMBULISHA. ..PLS TUESHIMIANE" alimalizia Shamsa Ford
a81666deb76b86c6dc656969959e9079.jpg
 
huyu Dada Ana upaja wa haja duu!! kama Ney Alisha mfunua kyupi kwani kuna haja gani tena ya kumganda?? kurudiana nae ni uamuzi wake
 
Kupewa taraka na mtoto mwenye upaja kama huo.. lazima ulie lie kurudiana tu...
 

Attachments

  • ford.png
    ford.png
    56.3 KB · Views: 360
Back
Top Bottom