Sikufanikiwa kuuliza mkuu nilitingwa[emoji134]Kulingana na hii comment yako inaonekana Uliwahi kushiriki gwaride bila shaka kwnye vikosi vya ulinzi, huko kote hukuwahi kuuliza muanzilishi wa grwaride uje uliize JF, halafu comment ya mtu inakukumbusha ulivyopigwa na M.P.
Hata kugoogle umeshindwa?
Bibi nani?Aka ushasema bibi
Lazima we ni form six wa kuanzia mwaka 2013 mkuu[emoji23] [emoji23]Du! umeongelea gwaride ukanikumbusha Enzi zangu napiga gwaride la Siku ya Uhuru, Muungano pale Uwanja wa Taifa Dar es salaam, nikiwa karefu kembambaa halafu nilikuwa ndio "right marker" wa guard ya JKT wasichana. Ilikuwa nikipigia goose match utapenda mguuu huoooo! ahsante JKT kwa mujibu wa sheria
Ndio mimi ni mwanamke, na nishawahi kuweka uzi kueleza jinsi yangu maana niliona wengi walikuwa wanaingia inbox kuniuliza kama ni mwanamke au mwanammeHee[emoji87] [emoji87] chirika kumbe mwanamke,,
Safi sana! hahahahahLazima we ni form six wa kuanzia mwaka 2013 mkuu[emoji23] [emoji23]
Kale kasauti anakotoa muongoza guard husika mkikaribia jukwaa la mgeni rasmi, nakapenda balaa
Guard namba mojaaaaaaaaah
Heshimaaaaaaaa kulia
Watu mnaanza kamata, sukuma, geuza, angushaaaaaaa
Kata shingo kulia weweeeeee[emoji23] [emoji23] [emoji23]
RahaaaaSafi sana! hahahahah
Weee kijana wa kimasai wewe mbona hivyo jamani hahahhaha eti kipochi manyoya hahahahahhahaKitambo mbona ana nyonyo na kipochi manyoya
Karibu umasaini...Weee kijana wa kimasai wewe mbona hivyo jamani hahahhaha eti kipochi manyoya hahahahahhaha
hahahahahh ahsante mwayaKaribu umasaini...
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm! picha tena!Wee siamini hadi nione picha yako
Kote huko tumefika bb na Afande wetu CO Myala nawakumbka akina Urasa,Mwalami , Shingoma nk daah mbal xnHaaaaa baba vipi embakasy na dunia umeyaonaje yale mashamba na kule duka lambao na je,,kule mzabibuni bado wanapanda zabibu? Je pale kwa mzee lyaseko zizini ulifanikiwa kujificha hapo kipindi unadoji? Au kule nadosoito ulifanikiwa kufika,,na mirongo ulienda[emoji3] [emoji3] [emoji3] vipi mkuu m.p eliud bado yuko pale
Haaaaa baba vipi embakasy na dunia umeyaonaje yale mashamba na kule duka lambao na je,,kule mzabibuni bado wanapanda zabibu? Je pale kwa mzee lyaseko zizini ulifanikiwa kujificha hapo kipindi unadoji? Au kule nadosoito ulifanikiwa kufika,,na mirongo ulienda[emoji3] [emoji3] [emoji3] vipi mkuu m.p eliud bado yuko pale