Nahitaji kumuoa, ila hii ndoa sijui itakuwaje

Nahitaji kumuoa, ila hii ndoa sijui itakuwaje

Hapo unataka kushauriwa nini? Kama tabia zake mbovu achana nae... Unataka kufuga maradhi ndani alafu uje kumtafuta mchawi nani...
 
Hujaeleza ile sector nyeti huyo mtoto ni vipiii

Kama kule mashaaalah hayo yote potezea
Hahahaa khaaa,hizo tabia sasa itakuaje,maana bidada katisha hata mie tu ningemkimbia
 
nyama ni ile ile tofauti bucha na mkataji... kama vipi usioe
 
Habari wanajanvi,

Naomba munishauri kwa hekima mimi ni muislamu naruhusika kuoa hadi wake 4 kwasasa niko na 1 nataka kuongeza wa 2.

Mimi kazi yangu ni kutoa huduma kwa jamii, katika kazi yangu hio nimekutana na msichana akanivutia nikaamua kutangaza ndoa na nikasema kabisa kua atakua mke wa 2 hakua na shida akakubali kwa kua dini yangu hairuhusu uchumba wa kuishi ama kua karibu na msichana.

Baada ya kukubali nikaaamua kutoa posa kwao ili nisijekuvunja amri ya 6 na yeye basi wazee wake wakakubali wakanidai mahari fanicha ya ndani nikasema sio shida nikanunua nikaiweka ndani nishawaita wazazi wake wameshakagua wanaulizia harusi nataka ifanyike lini majibu sijatoa kwasababu hizi:-

1. Huyu mwanamke ukimuangalia kashakununia.

2. Kama hupokea simu yake utajuta kwa kulalamika unamzarau.

3. Ukimuelewesha anaona unapiga fix tuuu na hakawii kukuambia yeye basi.

4. Ndani ya miezi 2 kashavunja uhusiano ma 4.

5. Mwepesi yeye kuomba samahani ila ukimuomba yeye utakesa.

Hizo ni miungoni mwa sababu zinazonifanya kama sikua sahihi kumchagua akiingia na tabia hii katika ndoa kila ziku talaka na itakua shida kama mahari yake ni zaidi ya 2.5 milioni.

Waungwana nishaurini

Kwani lazima uoe?? Mkeo ana tatizo gani?? Kama yuko poa na hana tatizo mkuu nakushauri tulia na mkeo hata kama dini inaruhusu.
 
duh, mkuu huyo achana nae kabisa maana lazima amvuruge mkeo wa kwanza.tafuta mwingine hivyo vitu achana navyo ambavyo ushatoa kishika uchumba
 
Hahahaa khaaa,hizo tabia sasa itakuaje,maana bidada katisha hata mie tu ningemkimbia

Hahahah....

najaribu kupima huku na kule kama anajua sana kule ntaangalia jinsi ya kumvumilia hizo tabia akikua ataacha
 
Siubak na mkeo mmoja unahangaika nin unajitaftia stress tu
 
Sasa hapo mkuu imebaki nini chakushauriwa? mke ni pambo la nyumbani na nadhani umeona iliupate faraja na usizini
sasa ukiuchukua moto huo ukiuweke ndani si bora iwe basi na ubakie na huyo mmoja kama mzazi wako au uendelee kutafuta..
 
mbna hakuna tatizo hapo hiyo yote ni kutokana mtoto GENYE tu zimemzidia wanawake wengi Huwa na hasira zisizo na maana pamoja na lawama za ajabu GENYE zinapokuwa zimezidi viwango unachotakiwa chukua jiko weka ndan tandika bakora barabara hayo yote yatapotea
unachotakiwa ukishaingia kwenye ndoa jitahidi kuwa kuwa MUADILIFU huo ndo msingi wa ndoa za wake wawili

watu wanatafuta hata ya MKE MMOJA hawapati wewe unapata bahati hiyo unavunjwa nguvu na hvyo vitu vidogo huyo ni mwanamke kawaida tu hukiweza kuwa muadilifu na ukamkuna vizuri kitandani hayo yote yatakwisha km si kuwa ya kawaida

MKUU CHUKUA JIKO HILO kamilisha SUNNA NZURI HIYO
 
Back
Top Bottom