Recent content by simanyane

  1. S

    JamiiForums Tanzania Unajua kwanini misafara ya viongozi hutanguliwaa na pikipiki?

    Na mtume alisema dunia imekaa kama meza na jua linatoka kwenye matope huyu mtume anajua mengi sijui sababu ya kusoma sana
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kombe la Shirikisho: Medeama yaifunga Yanga 3-1 hatua ya makundi

    Yanga ni timu bora maana kabla ya kufika hapo imezifunga timu ngapi?na kuziacha timu kibao zikiwa watazamaji wa haya mashindano
  3. S

    JamiiForums Tanzania France church attack: Priest killed in hostage-taking near Rouen

    Ukiyapoke haya madubwana tegemea mauaji ktk nchi yako haya majitu hayasitahili kupewa hifadhi maana yanapenda kuua kama alivyokuwa kiongozi wao
  4. S

    JamiiForums Tanzania Mzee wa Upako: CCM wanamuogopa Lowassa

    Si ajabu mama alipata mimba nje ya ndoa ila sasa hivi unadai haki kama uko kwa baba halali
  5. S

    JamiiForums Tanzania Tuwaamini kwa asilimia ngapi wanawake kama mtindo ndio huu?

    Kwa jinsi nilivyo na wivi kuna kipindi nilitaka nitafute mdada anizalie walau mtoto mmoja ni nimlipe kisha kila mmoja wetu aendelee na maisha yake maana kwenye maisha yangu hakuna kitu kinacho niuma unamuamini mtu harafu baadaye unaanza kusikia uchafu wake na hata kama ulifanya kabla sija mjua
  6. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yang'ara Morogoro

    Wanaccm wanadhani wakiwapa watz barabara nzuri maji na hata dawa hospt ndo wataipenda ccm kumbe sio kweli maana mtu mmoja akitawala kwa muda mrefu anachokwa na watu je si zaidi kwa ccm inayo laumiwa kwa mambo mengi mabaya ktk nchi hii.
  7. S

    JamiiForums Tanzania Wasomi waponda hotuba ya Magufuli Dodoma

    Kwaani kujua kwamba wananchi wanahitaji maji au dawa hosp nayo inahitaji ilani?tuache siasa la sivyo tukubali kubaki hapahapa hadi YESU arudi
  8. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani miaka 5 baada ya Nabii kumpa mdogo wangu mimba

    Wewe ni mnafiki huna lolote na wala sio mkristo maana ukristo ni kusema ukweli maada umeleta jf tuchangi harafu unataka uniambie kwa kificho maana wote tunataka tumuogope huyo nabii njaa
  9. S

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Niliacha kwenda kanisani miaka 5 baada ya Nabii kumpa mdogo wangu mimba

    Ungetutajia jina la huyo nabii na jina la mdogo wako aliyepewa mimba la sivyo unania ya kuchafua ukristo kumbe wala wewe sio mkristo
  10. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yang'ara Morogoro

    Aaaaa mkuu acha ytani ina maana ufisadi uliofanyika ktk nchi hii ni hawa CDM?au ni siasa tu
  11. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA yang'ara Morogoro

    Mbona kuko kimya sana ina maana wale vijana walishaachana jf?
  12. S

    JamiiForums Tanzania Hii ndio Historia Kuntu ya Somalia

    Ma hawa ndiyo ndg moja na watusi wala sio waethiopia maana hata roho zao zinafanana
  13. S

    JamiiForums Tanzania Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

    Mabwawa kama hayo yapo mengi huko mbeya hasa Rungwe mashariki na yanavutia mno mf.Ilamba Itamba na Kengele ni mazuri ila kwasasahivi watu wa hifadhi waliweka mamba kwahiyo wananchi wanaogopa kufanya shughuli zao humo
  14. S

    JamiiForums Tanzania Vyeti vyatikisa nchi.Waliopotelewa wajisalimisha NECTA, * NSSF yagoma kulipa ambao hawajawasilisha

    &cheni uongo majeshi hadi leo wanaajili hata ambao hawajamaliza primary ili mradi umetimiza vigezo mf.wacheza mpira au mafundi wa aina yoyote kama chelehani nk kwa hiyo sidhani mtu wa hospital au mwalimu anaweza kuajili mwenye sifa kama hizo
  15. S

    JamiiForums Tanzania Wanachotaka ni wao wasikike lakini sio wapinzani

    Na hata umasikini utaendelea kutamalaki licha ya kuwa na rasmali tele hadi tujitambue kuweka watu wenye mawazo mapana sio hawa wachumia tumbo walio tuangusha kwa miaka yote leo wanajifanya malaika
Back
Top Bottom