Lake Ngozi (Ziwa Ngozi) na simulizi za ajabu

Caldera kama imepita porous rock au Aquifer panatokea ziwa. Pia geothermal inaweza kuwa taped kutokana mvuke wa magma. Any form (maji,mvuke,magma) of energy comes from rock/geo panaweza tengenezwa thermal plant to generate energy.
Uko sahihi mkuu, na hii uliyoeleza hapa ndio jografia tulifundishwa O level miaka hiyo. Sifa mojawapo ya caldera lakes ni kuwa na kingo wima (steep slopes), kiasi kwamba kushuka mpaka kuyagusa maji inakuwa ni vigumu sana, bila kuwa na msaa kama vile kamba na mizizi. Hii ni kwa sababu maziwa haya hutegenezwa na kutokana bonde iliyoachwa wazi baada ya lava kutoka. Ni jografia moja tamu sana ya masuala haya.
 
Wakubwa mimi nilitembelea ziwa hili tukiwa na watu kadhaa tukiongozwa na mhifadhi. Kwanza kiko kati ya mlima no inlet nor outlet. Pia hakuna mkazi Jirani. Pia hakuna njia rasmi ya kuingia ziwani. La maana zaidi linakula watu mpaka wazungu walijidai kuingia kuogelea na utaalam wao hawakutoka. Tuliaswa kabisa kutoshika Maji yake. Wenzetu walioshuka huko walitumia mizizi ya miti na walichungulia kwa mbali kwa kuwa halina kingo. Mimi nilitizama kwa juu tu sikushuka.
 
Niliwahi kusikia kuwa Lipo ziwa linaitwa DULUTI huko Arusha maeneo ya Tengeru kuwa linaendana tabia na hili ngozi.
Hilo ziwa (Duluti) halitoi maji wala hakuna mto unaoingiza maji lakini iwe masika iwe kiangazi maji hayaongezeki wala kupungua, pia kina chake hakijulikani.
Sijui kitaalam hii ikoje.
Sio duluti.nice duruti
 
Sasa kama hautakiwi kuongea Kinyaki so ni lugha gani ya kutumia ya wenyeji KISAFWA au English?
Mkuu Caldera ni shimo litokanalo na milipuko ya kivolcano.
Geothermal ni chem chem za maji ya moto ardhini ambazo hutokana na volcanic activities bila shaka ni goegraphy ya form 3 on Vulcanicity.
TBC wamewahi kuliongelea hili ziwa na maajabu take KWA hiyo nadhani ukienda library ya TBC utapata copy ya maelezo juu ya ziwa hili juu ya yanayoongelewa hapo juu. 2012 kuna watoto ( wanafunz)walienda kule KWA pairs zao watatu walipotea wakaja kuonekana baada ya siku tatu napo baada ya matambiko ya machief, maana machief walisema saa saba mchana watoto watapatikana na watapatikana kweli. Wanaotokea mbeya especially uyole wanajua juu ya hili. Hili ziwa lipo na maajabu yake yapo.
 
Niliwahi kusikia kuwa Lipo ziwa linaitwa DULUTI huko Arusha maeneo ya Tengeru kuwa linaendana tabia na hili ngozi.
Hilo ziwa (Duluti) halitoi maji wala hakuna mto unaoingiza maji lakini iwe masika iwe kiangazi maji hayaongezeki wala kupungua, pia kina chake hakijulikani.
Sijui kitaalam hii ikoje.
Yeh, Ziwa Dulute nalifahamu vuzuri sana, ni moja ya maeneo ambayo huwa tunatumia kwa kuwa na muda na malafiki zetu na kukaa maana mandhari yake ni nzuri sana, hakuna mtu unaoingiza maji wala kutoa maji, na pia ziwa Dulute sio salama kwa kuogelea maana kina chake hakijulikani, kuna security ya kutosha kuzuia kuogelea.
 
Jana tu nilikuwa naongea na mdau mmoja kuhusu eneo hili. Wenyeji naomba mtujuze, ziwa hili liko kwenye hifadhi? Na hifadhi iko chini ya mamlaka gani? Kuna njia ya gari kulifikia? Watalii wanafika kwa wingi huko?
Nitashukuru nikipata majibu wakuu
 
Mabwawa kama hayo yapo mengi huko mbeya hasa Rungwe mashariki na yanavutia mno mf.Ilamba Itamba na Kengele ni mazuri ila kwasasahivi watu wa hifadhi waliweka mamba kwahiyo wananchi wanaogopa kufanya shughuli zao humo
 
Uko sahihi mkuu, na hii uliyoeleza hapa ndio jografia tulifundishwa O level miaka hiyo. Sifa mojawapo ya caldera lakes ni kuwa na kingo wima (steep slopes), kiasi kwamba kushuka mpaka kuyagusa maji inakuwa ni vigumu sana, bila kuwa na msaa kama vile kamba na mizizi. Hii ni kwa sababu maziwa haya hutegenezwa na kutokana bonde iliyoachwa wazi baada ya lava kutoka. Ni jografia moja tamu sana ya masuala haya.
Haya ndiyo mambo mnatakiwa kuongelea humu jukwaani badala ya matusi au vijembe! Asanteni, mmenielimisha.
 
Wakubwa mimi nilitembelea ziwa hili tukiwa na watu kadhaa tukiongozwa na mhifadhi. Kwanza kiko kati ya mlima no inlet nor outlet. Pia hakuna mkazi Jirani. Pia hakuna njia rasmi ya kuingia ziwani. La maana zaidi linakula watu mpaka wazungu walijidai kuingia kuogelea na utaalam wao hawakutoka. Tuliaswa kabisa kutoshika Maji yake. Wenzetu walioshuka huko walitumia mizizi ya miti na walichungulia kwa mbali kwa kuwa halina kingo. Mimi nilitizama kwa juu tu sikushuka.
mimi niliienda kitambo sana kwenye somo jiografia....ila tuliingia hadi kugusa maji ila mwalimu alisema ile inaweza kuwa kuna avolcano maana wanasema kitu kikienda katikati akirudi
 
pole sanaa
poleni, haya maziwa yana maelezo yake ya kisayansi na kijiografia, sema kwa wasiojua ndio wanayahusisha na kuwa na maajabu mara mashetani lakin kiukweli ni kwamba kina chake huwa ni kirefu sana na ni kama shimo na hivyo kusababisha kinachoingia kuvutwa chini na kushindikana kutoka, but hilo la machifu kutambika na watoto kupatikana kwa muda uliotajwa pengine ndio maajabu yake ambayo hayawezi kuwa na maelezo ya kisayansi
 
Back
Top Bottom