Wasomi waponda hotuba ya Magufuli Dodoma

chinchilla coat

JF-Expert Member
May 16, 2016
4,894
2,000
Wasomi na wadau mbalimbali wa siasa wameponda hotuba ya Magufuli aliyoitoa Dodoma alipokuwa akikabidhiwa uenyekiti na Jakaya Kikwete

Mojawapo ya wasomi hao ni lecturer wa chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) Prof. Gaudence Mpangala akisema kuwa haikuwa sahihi kwa Magufuli kutangaza Dodoma kuwa watumishi wote wa umma lazima wawe chini ya CCM alisema ''Watumishi wa umma hawapaswi kuwa chini ya chama cha siasa hata kama ni chama tawala, Magufuli hakuwa sahihi, CCM inapaswa kutimiza ilani yake lakini sio kwa njia ya kuwaingilia watumishi wa umma''
Naye Profesa Wa UDSM Kitila Mumbo amesema anashangazwa na kitendo cha mwenyekiti huyo wa chama kupiga marufuku mikutano ya siasa wakati ndio inayowapakuonekana na kusikika na wananchi

Naye mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa amesema jukumu la watumishi wa umma wanasimamiwa na bunge kwa upande wa serikali kuu na madiwani kwa upande wa serikali za mitaa, amesema wanatarajia kuwa ataruhusu mikutano ya siasa ambayo ameipiga marufuku

Naye kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amesema ameshangazwa sana na kitendo chake cha kuwatishia kuwafukuza wanachama wanaokikosoa chama

Naye mchambuzi wa siasa kutoka CUF Julius Mtatiro amesema japo amefurahishwa na hotuba hiyo kugusia mambo muhimu kama kuondoa rushwa kwenye chama na kuhamishia makao makuu Dodoma japo kuna mengine hayakuzungumziwa kwa kina lakini ameponda kitendo cha Magufuli kusema kuwa wanachama wa CCM ndio watakua ma boss wa watumishi wa umma
 
Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
550
195
Wasomi wa bongo bwana ni mishangao wenyewe kila kitu wanapinga tu. mmmh kweli kazi ipo.
 
MZALENDO ORIGINAL

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
377
250
Hotoba yake JPM nzuri wala hajasema watumishi lazima wawe CCM hao wasomi hawajamuelewa wanafanya analysis uku wakiwa na lengo la kukosoa wala sio kubonyeza isitoshe wasomi hao ni wapinzani unategemea nini situ wapinzani ni wapinzani uchwara.

Kuhusu kuwatishia wanaomkosoa JPM Kwamba atawafukuza MH Zito ujamuelewa JPM kama umemuelewa unawadanganya wananchi,JPM alisema wasaliti ni wale wanaokua mchana CCM na usiku UKAWA akimanisha wanakwamisha chama kisisonge mbele kama wewe walivokutuumu CDM kwamba unawasaliti kuna majimbo uliwauzia CCM JPM hao wanamna hiyo amesema atawatumbua
 
Nzi

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
13,921
2,000
wasomi wa bongo bwana ni mishangao wenyewe kila kitu wanapinga tu. mmmh kweli kazi ipo
Kuna jambo gani linalostahili kupongezwa na wasomi kwenye taifa tajiri lililojaa watu maskini?!? Nitajie jambo moja tu braza kaka.
 
simanyane

JF-Expert Member
Apr 10, 2015
2,247
1,500
Naomba kuuliza ni nani anayeoongoza serikali? watumishi wa serikali wanafanya kazi ili kutimiza Ilani ya chama gani? watumishi waliopo katika wizara waziri ni wa chama gani na mwanachama wa chama gani?
Kwaani kujua kwamba wananchi wanahitaji maji au dawa hosp nayo inahitaji ilani?tuache siasa la sivyo tukubali kubaki hapahapa hadi YESU arudi
 
chabusalu

JF-Expert Member
Apr 29, 2016
7,835
2,000
Hotoba yake JPM nzuri wala hajasema watumishi lazima wawe CCM hao wasomi hawajamuelewa wanafanya analysis uku wakiwa na lengo la kukosoa wala sio kubonyeza isitoshe wasomi hao ni wapinzani unategemea nini situ wapinzani ni wapinzani uchwara.Kuhusu kuwatishia wanaomkosoa JPM Kwamba atawafukuza MH Zito ujamuelewa JPM kama umemuelewa unawadanganya wananchi,JPM alisema wasaliti ni wale wanaokua mchana CCM na usiku UKAWA akimanisha wanakwamisha chama kisisonge mbele kama wewe walivokutuumu CDM kwamba unawasaliti kuna majimbo uliwauzia CCM JPM hao wanamna hiyo amesema atawatumbua
Hata JPM atakushangaa?
 
SaidSabke

JF-Expert Member
Sep 28, 2006
2,074
1,500
Wasomi na wadau mbalimbali wa siasa wameponda hotuba ya Magufuli aliyoitoa Dodoma alipokuwa akikabidhiwa uenyekiti na Jakaya Kikwete

Mojawapo ya wasomi hao ni lecturer wa chuo kikuu cha Ruaha (RUCU) Prof. Gaudence Mpangala akisema kuwa haikuwa sahihi kwa Magufuli kutangaza Dodoma kuwa watumishi wote wa umma lazima wawe chini ya CCM alisema ''Watumishi wa umma hawapaswi kuwa chini ya chama cha siasa hata kama ni chama tawala, Magufuli hakuwa sahihi, CCM inapaswa kutimiza ilani yake lakini sio kwa njia ya kuwaingilia watumishi wa umma''
Naye Profesa Wa UDSM Kitila Mumbo amesema anashangazwa na kitendo cha mwenyekiti huyo wa chama kupiga marufuku mikutano ya siasa wakati ndio inayowapakuonekana na kusikika na wananchi

Naye mbunge wa Iringa mjini Peter Msigwa amesema jukumu la watumishi wa umma wanasimamiwa na bunge kwa upande wa serikali kuu na madiwani kwa upande wa serikali za mitaa, amesema wanatarajia kuwa ataruhusu mikutano ya siasa ambayo ameipiga marufuku

Naye kiongozi wa ACT Zitto Kabwe amesema ameshangazwa sana na kitendo chake cha kuwatishia kuwafukuza wanachama wanaokikosoa chama

Naye mchambuzi wa siasa kutoka CUF Julius Mtatiro amesema japo amefurahishwa na hotuba hiyo kugusia mambo muhimu kama kuondoa rushwa kwenye chama na kuhamishia makao makuu Dodoma japo kuna mengine hayakuzungumziwa kwa kina lakini ameponda kitendo cha Magufuli kusema kuwa wanachama wa CCM ndio watakua ma boss wa watumishi wa umma
Wewe ndio unaona wasomi waliobobe?
 
treborx

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
4,634
2,000
Alisema watumishi wa umma lazima watekeleze sera za CCM, au wawe wana CCM?? Tuwe makini tusije potosha kile alichokisema.
 
kabila01

JF-Expert Member
Apr 21, 2009
3,916
2,000
Kwaani kujua kwamba wananchi wanahitaji maji au dawa hosp nayo inahitaji ilani?tuache siasa la sivyo tukubali kubaki hapahapa hadi YESU arudi

Ungekua unajua nn maana ya Ilani wala usingeuliza swali la kipuuzi hivyo. Kujua kua Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 sio kuelimika bali ku reason na kutambua kua kwanini Tanzania ilipata uhuru mwaka 1961 ndo elimu. Kujua kua kuna kitu kinaitwa Ilani sio kuelimika ila kudadisi na kujua maana ya ilani, kwa nn kila chama kinakua na ilani ndo kuelimika
 
JERUSALEMU

JF-Expert Member
Sep 19, 2012
2,977
2,000
Mchungaji Peter Msigwa, Zitto Kabwe na Julius Mtatiro ni wasomi? Hahahahahaaaaaaa
Sasa wewe unajilinganisha na hao? kuandika Kiswahili sanifu mara nyingi kwako ni shida ndio ujilinganishe na hao manguli wa siasa za Tanzania!
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,084
2,000
Hotoba yake JPM nzuri wala hajasema watumishi lazima wawe CCM hao wasomi hawajamuelewa wanafanya analysis uku wakiwa na lengo la kukosoa wala sio kubonyeza isitoshe wasomi hao ni wapinzani unategemea nini situ wapinzani ni wapinzani uchwara.

Kuhusu kuwatishia wanaomkosoa JPM Kwamba atawafukuza MH Zito ujamuelewa JPM kama umemuelewa unawadanganya wananchi,JPM alisema wasaliti ni wale wanaokua mchana CCM na usiku UKAWA akimanisha wanakwamisha chama kisisonge mbele kama wewe walivokutuumu CDM kwamba unawasaliti kuna majimbo uliwauzia CCM JPM hao wanamna hiyo amesema atawatumbua

Haya tumekusoma , ngojea utazawadiwa ukatibu tarafa.
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,939
2,000
Hahahaha hiyo list ya wasomi sasa hadi Msigwa yupo...!

Hivi Zitto ni mzima kweli wa akili? Ni wapi Mh Rais alisema atawafukuza wanao kikosoa chama?Nadhani sasa Zitto ana karibia kuchanganyikiwa..
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom