Tuwaamini kwa asilimia ngapi wanawake kama mtindo ndio huu?

Baba Parokoo

Member
Jul 20, 2016
60
17
1469356083581.jpg

Nilikuwa sijui kumbe siwezi kumwamini mke kama mama yangu mke wangu anaweza nisaliti nikiwa pamoja naye kha Ee Mungu utuhurumie
 
We vipi??? Mbona wanawake walishaacha kuwaamini wanaume siku nyiiiingi...wanadamu sio waaminifu...baba anaweza kuzini na mke wa kijana wake...mama anaweza kuzini na mme wa binti yake. Ishi kwa imani tu mkuu
 
Kwa jinsi nilivyo na wivi kuna kipindi nilitaka nitafute mdada anizalie walau mtoto mmoja ni nimlipe kisha kila mmoja wetu aendelee na maisha yake maana kwenye maisha yangu hakuna kitu kinacho niuma unamuamini mtu harafu baadaye unaanza kusikia uchafu wake na hata kama ulifanya kabla sija mjua
 
Ikiwa picha inakufanya uondoe uaminifu kwa mtu, hautaamini kitu chochote ndani ya maisha haya
 
Back
Top Bottom