Recent content by shubilla

  1. shubilla

    JamiiForums Tanzania Airtel wanakata bando za watu huu ni wizi

    Yaan me ndio nadhani wananionea zaidi,kwasababu kuna siku niliweka kifurushi nikapata mb 125,kuingia kusearch kitu fulani kwa dakika 2hiv najikuta nina mb4 kwa kweli nilishangaa jmn..mpka sikuamini nilichokiona maana siku nyingine huwa wananiibia lakini siku hiyo walizidisha
  2. shubilla

    JamiiForums Tanzania Naomba jibu

    Unashangaa nnnfi hiyooooooooooo
  3. shubilla

    JamiiForums Tanzania Mmhh uvivu au?

    Mhhh kikwete nomaaaaaaaaaaa sana
  4. shubilla

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Mmmhhh ndio kali balaaaa mie nakufa kwa kicheko
  5. shubilla

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Mmmhhhh jmn mbavu zangu nafaaaaaaaaaaa
  6. shubilla

    JamiiForums Tanzania Bongo movies...

    Duhh nimecheka sana
  7. shubilla

    JamiiForums Tanzania Yaliojiri jana na yatakayojiri leo kumuaaga Tata Nelson Rolihlahla Mandela

    Jamani cha kushangaza karibu Station zote Tanzania zinaonyesha ibada ya kitaifa ya mandela lakini CLOUDS wao wapo busy na bongo fleva
  8. shubilla

    JamiiForums Tanzania Nani yuko macho tupige stori?

    Jamani macho ndio wap?
  9. shubilla

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wazuri na waliosoma na wenye wanazalia nje ya Ndoa( Nyumbani kwa wazazi wao)

    Wanaume wlio wengi wamezoea kudanganyadanganya,sasa akimuona mdada ana elimu yake na kazi nzuri anaogopa kumpa uongo wake na kujihisi inferior kwa mdada huyo matokeo yake wanaume wanawakimbia wadada wa hivi kwasababu tu hawawezi kumburuza watakavyo kama walivyozoea.....wanaenda kuchukua...
  10. shubilla

    JamiiForums Tanzania Tabia ya umalaya wa rafiki yangu inanikera!!!

    Asante,kuhisi si vibaya
  11. shubilla

    JamiiForums Tanzania Tabia ya umalaya wa rafiki yangu inanikera!!!

    Asante kwa ushauri wako
  12. shubilla

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wadau !!!!!!

    Thank u
  13. shubilla

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wadau !!!!!!

    Asante ngoja nianze
  14. shubilla

    JamiiForums Tanzania Msaada wenu wadau !!!!!!

    Asante sana
  15. shubilla

    JamiiForums Tanzania Tabia ya umalaya wa rafiki yangu inanikera!!!

    Haahhhaa jmani wewe ndio utaweza?
Back
Top Bottom