Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
Niliwaswalia wote.... Jerrymsigwa na Jawilat. Vipi bado mpo au ndo mshaenda kulala???
mimi ndo naingia now,ila kuna watu wameadimika!!
Last edited by a moderator:
Niliwaswalia wote.... Jerrymsigwa na Jawilat. Vipi bado mpo au ndo mshaenda kulala???
hatuja choka jamanihivi watu mmechoka kazi eeh....
#teammapopoooo mupooooo?????
habari zenu...
charminglady nipo#TeamMapopoooo mupooooo?????
Mie sizitaki na akalale huko...[/QU
unazitaka sena tu basi
Mie sizitaki na akalale huko...[/QU
unazitaka sena tu basi
Za nini mie? Alafu wewe sikupendiii ungejua wala usingenisemesha..
mimi ndo naingia now,ila kuna watu wameadimika!!
Huyo ni ww ama???
Za nini mie? Alafu wewe sikupendiii ungejua wala usingenisemesha..
hunipendi nime kukosea nini mie jamani
tumekua mapopo tena
Shost nimepata mkia wanifata kila niendako!!!Habari zenu...
Ndio... Popo ndio huamka saiv!!!
Habari zenu...
popoo wama amka saizi mmmmmmmmh mie sijui jamani